Wanawake waliopevuka kiakili huwa ni wenye mapenzi ya dhati na wavumilivu kwenye mauhusiano

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
ComicWords-

Maturity is not by age, but the acceptance of your responsibilities.

Mapenzi matamu na mazuri yanahitaji ubunifu na utundu ,uvumilivu na usikivu ikiwa ni viasharia maridhawa katika kutunza na kulienzi penzi.

Wanawake waliopevuka kiakili huwa ni wenye mapenzi ya dhati na wavumilivu kwenye mauhusiano.Wasichana huwa na kasumba ya kusumbua wanaume kwenye mauhusiano daima kutokana na udogo wa akili na uhabaa wa mbinu za kutunza mwanaume na kumpa upendo na mapenzi ya dhati yenye utimilifu wa furaha .

Raisi mpya wa France,Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron amezaliwa tarehe, ,21 December 1977 na kwa sasa ana umri wa miaka 39,mkewe wake anayeitwa Brigitte Marie-Claude Trogneux amezaliwa tarehe, 13 April 1953 na kwa sasa ana umri wa miaka 64.

Wasichana wanaposumbua wanaume vichwa kwenye mapenzi na kujeruhi mioyo ya wanaume ,wanaume huenda tafuta wanawake waliowazidi umri na kutafuta pumziko la moyo na hazina ya furaha na amani kwa ma Sugar Mum kupata mapenzi yenye tija kwa kiwango cha ISO [ The International Organization for Standardization] NA kuepuka mapenzi ya wasichana ambao hawajakomaa kimapenzi wenye mapenzi ya TBS-Tanzania Bureau of Standards

Tofauti kati ya umri wa Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron na mkewe Brigitte Marie-Claude Trogneux ni miaka miaka 25 ,hapo ndipo neno Babe linapofanya kwazi kwa kiwango kikubwa sana.

Unaweza kuwa un-date na wanafunzi wa CBE,IFM pasua kichwa na hana mapenzi ya dhati zaidi ya checklist ya mahitaji yake kwako , wakati kuna wanawake ambao wako single wanaohitaji vijana waliotulia kiakili ,ili kutengeneza penzi bora.

Epuka mapenzi ya wasichana wenye mapenzi ya TBS-Tanzania Bureau of Standards na tafuta matured women wenye mapenzi ya ISO [ The International Organization for Standardization] .

Chako ni chako Dodoma the place to be kabla BUNGE halijaisha muda wake sababu luck favor the brave .Maturity is when you stop making excuses and start making changes.[HASHTAG]#Age[/HASHTAG]&Love.

Darasa:Jifunze kitu toka kwa ,Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron
 
Sawa mkuu kwa hiyo unatushauri tupende walio tuzidi umri au sio...?
NO.1.

Ukiwa na jicho la haki pamoja sikio lenye mzani wa kupima kauli thabiti zenye tija na kinywa maridadi ,basi unaweza mtizama mwanamke mzuri na mrembo kwa kumtizama ,mavazi yake,tabia yake na haiba yake na kauli zake ndio utaujua uzuri wa mwanamke na urembo wake.
 
inahidi ufuatilie historia yake labda hakupata malezi ya mama kwa hiyo anayapata uzeeni
 
yaaahh hiv mwanamke kuwa matured ni kuanzia miaka mingp au haina umri????
 
uko sahihi sana, ila hao waliopevuka na waelewa ni wachache mnooo......wanawake hawaeleki kamwe atapenda uwe hivi.... then atabadilika tena.... ukiona umeanza kumuelewa mwenza wako ujue ushafikisha 75.... hapo utakuwa unamuelewa na mshakuwa mapacha......
 
NO.1.

Ukiwa na jicho la haki pamoja sikio lenye mzani wa kupima kauli thabiti zenye tija na kinywa maridadi ,basi unaweza mtizama mwanamke mzuri na mrembo kwa kumtizama ,mavazi yake,tabia yake na haiba yake na kauli zake ndio utaujua uzuri wa mwanamke na urembo wake.
kweli mkuu
 
Back
Top Bottom