Wanawake wakiwa bize kutafuta wa kumwoa

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
ukitembela fb utakutana nayo

moyo kiza kinene uwezi jua yupi mkweli yupi mwongo anaekuzingua...ila mioyo ingewekwa wazi kujua huyu anakuwazia nn cjui km dunia ingekuwepo..oh which is which nw?

nani ajitolee?
 
Huyu dogo inaonekana aliwekeza sehemu halafu kazinguliwa, sasa ameingia humu anaugulia maumivu. Kazi kwenu wadau kutoa msaada huo.
 
ukitembela fb utakutana nayo

moyo kiza kinene uwezi jua yupi mkweli yupi mwongo anaekuzingua...ila mioyo ingewekwa wazi kujua huyu anakuwazia nn cjui km dunia ingekuwepo..oh which is which nw?

nani ajitolee?

jitolee weye kwanza halafu wengineo watakufuata ingawaje miye simo humo..................
 
Aliyekupeleka fb nani? kutokwenda huko haimaanishi ww ni mshamba ati...
 
ukitembela fb utakutana nayo

moyo kiza kinene uwezi jua yupi mkweli yupi mwongo anaekuzingua...ila mioyo ingewekwa wazi kujua huyu anakuwazia nn cjui km dunia ingekuwepo..oh which is which nw?

nani ajitolee?

Hii ni mojawapo ya viashiria vya msongo wa mawazo............. wataalamu wa ushauri nasaha wanahitajika hapa....... kweli sitanii
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom