STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
" Wanawake
wane kati ya watano wamekiri wazi kuwa huwa hawaogi kila siku,na wengine wanadai kuwa
wanaweza kukaa kwa siku tatu bila miili yao kukutana
na maji.
.
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza kukagua ngozi za
wanawake 2,021 wenye umri wa kati ya miaka 18 hadi
50 umegundua kuwa mbili ya tatu ya wanawake wana tabia ya kutoosha nyuso zao zenye poda kabla ya kulala
na moja ya nane ya wanawake pia huwa hawana
utamaduni wa kupiga mswaki kabla ya kulala. Linapokuja suala la kuoga asubuhi sasa,ni asilimia ishirini
na moja tu ya wanawake ambao hutenga muda wa
kuoga asubuhi kila siku,na asilimia thelathini na tatu ya
wanawake huishi kwa siku tatu bila ya kukutana na
maji mwillini mwao.
Jambo la kushangaza mmoja kati ya wanawake watatu
huthubutu kukaa kwa siku tatu bila ya kuosha nyuso
zao pia, kama utashangaa juu ya miili isiyooshwa kwa
siku tatu.
Pamoja na kwamba wataalamu wa masuala ya fya na
usafi wa kawaida wa mwili, asilimia hamsini na saba ya
wanawake wa Uingereza wanakiri kutumia karatasi
laini zenye maji maji kujifuta mwilini kabla ya kulala. Utafiti uliofanywa uliwafikia wanawake elfu
mbili,inaelezwa kuwa asilimia tisini na mbili wamesema
wazi kuwa wanaelewa umuhimu wa utunzaji
ngozi,lakini mtindo wa maisha huwanyima usingizi na
ukosefu wa maji mwilini na hivyo kujiletea madhara
kiafya na hasa ngozi zao.
.
HUWA UNAOGA MARA NGAPI? Kila siku? Baada ya siku moja? Mara mbili kwa wiki,mara
moja kwa mwezi? Iwe nataka ama lah,
utafiti ukaeleza
kuwa asilimia themanini na tisa ya wanawake
wanajitetea kuwa wangependa sana kusafisha miili yao
lakini uchovu wa asubuhi na jioni ndio sababu ya
kutooga. Mmiliki wa kampuni ya afya ya Flint + Flint Maxine Flint
ansema kwamba anaelewa kuwa wanaojitetea
wanadanganya, na kutooga hasa asubuhi haikubaliki
kijamii, kwa watu wanaotuzunguuka na sio afya. Anasema tunazungumzia dakika chache unazitumia
kuoga kwa siku nzima,inaeleweka kuwa maisha ya sasa
ni haraka haraka lakini kila mmoja pale alipo sio kweli
kwamba hata muda wa kuoga tunaukosa, hatujatingwa
kihiivyo. Kwa muujibu wa taratibu za afya Maxine anasema ni
vyema kusafisha nyuso zetu kila subuhi na kuukanda
kwa joto ili kuchelewesha uzee usoni.Zaidi ya hayo
,idadi kubwa ya wanawake wanaelewa umuhimu wa
utunzaji ngozi lakini bado hawazitunzi.