radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
Hivi kwa mfano mmeoana watu wa ma fashoon mpo ndani ya ndoa mkaanza kunenepa mara vitambi vimechipua ndoa nayo inakufa?
Hizi pumba mnazifikiriaga kweli mnapowekaga hivyo vigezo?
Nataka mweusi ua maji ya kunde ikitokea kapata maugonjwa mwili umebak na makovu kama gwanda la jeshi ndoa inakufa?
Tuje hapa sijui sitaki mtu mfupi kwamba hao wafupi walizaliwa na wafupi wenzao? Subir mtoto wako uumbaji wa Mungu umpitie ndio mtajua haya mashauz yenu ya kutafuta vinono wakat huwez kuviumba
Ndoa na mahusiano ya vipindi hivi tabu tupu