Wanawake wachachamaa: Waonyesha matiti kwa kupinga mwenzao kushikwa matiti

duuuh hata huko mbele zipo hizo...
 
Attachments

  • behaviour16.jpg
    behaviour16.jpg
    31.7 KB · Views: 92
Entrepreneur ile project yetu imefia wapi? Lol
Kwi kwi kwiii, haa haa, haa, kwanza habari ya siku best? Sorry kwa ukimya kwani sikuwepo nchini, na huko nilipokwenda kuna matatizo yalijitokeza, kuna jamaa nilikuwa nae kwenye ndege sasa zile story za hapa na pale watu wakadhani tupo pamoja, kumbe jamaa ni drug dealer aliyebobea na alikuwa under surveillance, kufika Amsterdam, tukawa arrested wote, na nikawekwa ndani, sikuwa na access na internet wala simu. Haya back to business

Kwani hukupata mgao wako best, mbona nilituma hela kwenye ile akaunti yako ya MPESA uliyonipatia. Idea nzima niliwauzia wale wachina baada ya kubanwa na mambo mengine. Kwa sasa wao ndio wanafanya implementation, sisi tumebakiwa na ile ardhi tu, na watakuwa wanailipia rent kila mwaka
 
Wanapinga wakati wao wanaonyesha bila fujo makubwa

Yaan Blaki Woman, hii style nyingine ya kupinga mambo inashangaza sana. Nadhan walitaka kudraw attention ya media, na kweli waliipata. Lakin mimi bado ninajiuliza kama Ingrid alishikwa matiti hawa wakatembea vifua wazi ili kupinga na kulaan tukio hilo, je angeshikwa ...... wangetembea bila bila chupi?
 
duh! Kushkwa shkwa nalo ni zali eeh!.
Haa haa haa, kama zali sasa na wao wanataka kureciprocate. Hujaona bango linasomeka "What would you do if we squeezed your balls?" Kwi kwi kwi, If you do me, I do you
Hii ndio ile wenzetu wanasema if you scratch by back, i'll scratch yours.
 
Kwi kwi kwiii, haa haa, haa, kwanza habari ya siku best? Sorry kwa ukimya kwani sikuwepo nchini, na huko nilipokwenda kuna matatizo yalijitokeza, kuna jamaa nilikuwa nae kwenye ndege sasa zile story za hapa na pale watu wakadhani tupo pamoja, kumbe jamaa ni drug dealer aliyebobea na alikuwa under surveillance, kufika Amsterdam, tukawa arrested wote, na nikawekwa ndani, sikuwa na access na internet wala simu. Haya back to business

Kwani hukupata mgao wako best, mbona nilituma hela kwenye ile akaunti yako ya MPESA uliyonipatia. Idea nzima niliwauzia wale wachina baada ya kubanwa na mambo mengine. Kwa sasa wao ndio wanafanya implementation, sisi tumebakiwa na ile ardhi tu, na watakuwa wanailipia rent kila mwaka

pole kwa matatizo, heeeee halafu huo uongo mwingine hata haujaniingia akilini. lol, ujiandae kujibu mashtaka yote maana kesi ishakuwa nzito.lol
 
nitakuja na judgement kuchukua. hujambo lawyer muuza madawa ya kulevya?

Isije ikawa huyu klorokwini ndiye aliyeniponza, kwan jamaa niliyekuwa nimekaa nae, aliniambia ni lawyer pia. Ukionana nae nisaidie kupeleleza, muulize kama alikuwa nje ya nchi, na route yake ilikuwaje, muulize kama hapa JNIA aliondoka na KQ, alipobadili flight alipanda ndege gani? Na alikaa na nan. Thanks partner
 
pole kwa matatizo, heeeee halafu huo uongo mwingine hata haujaniingia akilini. lol, ujiandae kujibu mashtaka yote maana kesi ishakuwa nzito.lol

Uongo upi tena jaman partner? Sasa kama kesi si bora uwafungulie Vodacom Mpesa, kama pesa haikukufikia
 
Baadhi ya mabango yalisomeka hivi;
1. Next time it could be your daughter
2. Would you let what happened to Ingrid happen to the first lady?
3. What would you do if we squeezed your balls?

Actually i wouldnt really mind if a woman squeezed my balls as long as she did it gently:smile::becky:
 
sasa inakuaje mtu anapinga kitendo cha watu ku-abuse matiti ya mwenzao kwa wao kuya-abuse matiti yao kwa hiyari.
hapa ningewaelewa kama wangepinga kwa ku-abuse nyeti za hao wanaume maana hapo sasa si wanajikomesha wenyewe.
 
Yaan hicho ndicho kinachonishangaza, cheusimangala, kwa reaction hii, je angeshikwa nyeti! si tungeona makubwa!? Ifike mahali tuiheshim miili yetu
 
ooh! Sawa, huyo mtu ulipaa nae ni klorokwini ila amesema nisikwambie. Ukishasoma barua hii uichane.

Huh? Unaona sasa? I knew it.Nashukuru kwa taarifa partner. Nitajua namna ya kudeal nae. Barua nimeshaichana, but naomba uniPM physical address yake. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom