Wanawake waandamana kupinga mafataki!!-songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake waandamana kupinga mafataki!!-songea

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sijafulia, May 15, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika kuadhimisha siku ya familia dunian..wanawake wakiongozwa na eng stella
  manyanya wameandamana mpaka mlima matogoro kupinga ongezeko la mafataki
  na jinsi ama mbinu wanazotumia kuachiwa mahakamani baada ya kupelekwa
  na ushahidi kuwepo....

  Msafara huo ulioishia mlima matogoro ukiongozwa na mama manyanya umesema hakika
  hivi sasa MAHAKIMU mnaitaji kutushikilia..hata kama wanatoa hela waachiwe tunaomba
  kwa hili muwalinde wanawake jamani chonde chonde jamani...alilalama mama mmoja
  wa songea!!!!!!
   
Loading...