JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Ni taarifa inayosikitisha na kutisha-virusi vya ZIKA..
Amerika ya kusini umezuka ugonjwa wa hatari unaoshambulia mimba tu. Huu ugonjwa -microcephaly-unasababishwa na kirusi kinachoitwa ZIKA na kinaenezwa na mbu aina ya aedes, anae eneza homa ya manjano na dengue. Nchini Brazil na Colombia hali imekuwa mbaya sana,watoto wote waliozaliwa na kinamama walioathirika kwa ugonjwa huu wamegeuka mataahira.Na watoto hawa wanaongezeka kila kukicha.Ugonjwa huu hauna dawa.
Serikali ya Brazil imetoa tamko-wanawake wote wanaotaka kushika mimba waachane na mpango huo kwa sasa.Mpaka pale serikali itakapotangaza kuruhusu ushikaji mimba .
Swali langu ,je afrika na hasa hapa Tanzania tumejiandaaje na kirusi huyu aitwae ZIKA,kwasababu mbu anae eneza kirusi hiki hapa Tanzania yupo. ni yule yule anae eneza dengue na homa ya manjano(yellow fever).Na je,kirusi huyu kashafika au bado?
Hizi si habari njema
Kama kawaida yao,wamarekani wanawatahadharisha raia wao,hasa wenye mimba,kutokwenda nchi hizi.
''US health authorities have warned pregnant women to avoid travelling to more than 20 countries in the Americas and beyond, where Zika cases have been registered''
Zika virus triggers pregnancy delay calls - BBC News
Outbreak of Microcephaly Connected to Zika Virus in Brazil | HealthMap