Wanawake Wa Tanzania wanaoishi Botswana hawafai hata kidogo

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Wandugu
mimi nimeishi Nchi nyingi za kusini mwa Africa,nimegundua Wanawake wanaotokea nchi yetu ya Tanzania ukikutana nao huku ni matatizo matupu
mimi nilikuja huku nikiwa bado kijana sasa hivi naelekea utu uzima kidogo,nina maisha yangu mazuri kazi nzuri na mengineo mengi,lakini kwa kuwa sijasafiri kwenda Tanzania miaka mingi nilijaribu kutafuta wakina dada wa Nyumbani ili tukiweza kuelewana tufunge ndoa
jamaa zangu wanaoishi hapa walicheka sana nilipowapa hiyo habari,wengine walikejeli wakisema Wakina dada wa Tanzania walio hapa hawafai hata kidogo kuolewa,nilidharau nikaanza mitikasi ya kutafuta demu,nilipata mademu kama watatu lakini wote wana tabia moja,pesa mbele,unaendesha gari gani,unaishi nyumba ya aina gani,unafanya kazi gani.nilipata hasira sana sikujua kama watanzania tunaweza kuwa hivi
nimeamua kukamata mswana wangu mambo safi,wadada wa tanzania wakafie mbele,kwanza cha kushangaza wanazeekea hapa bila kuolewa huku wakitegemea kuolewa na matajiri
mswana wangu mambo safi hakuna matatizo,jirekebisheni nyie
 
GO EAST AND WEST HOME IS THE BEST! Achana na hayo manungayembe, Huku bado wapo wenye wenye tabia njema na maadili pia!
 
Sasa kama unamaisha mazuri, kazi nzuri na mengine kilichokushinda nini?

au kwa sababu umekosa?

then kama wewe umeishi sana kusini mwa africa ilikuwaje ukashindwa kujua tabia za watu wake

kwa sababu hizo sifa ulizozisema ndo common sana kwa wanawake hapo botswana so kwa vyovyote vile
lazima ukubali

Mbona hata bongo asilimia kubwa ya wanawake ndo wapo hivi siku hizi
 
Mkuu pole. Wenzio tukitoswa huwa hatutafuti sababu. Unachapa lapa kimya kimya tu!

Kwa hiyo hata sisi huku twende swana tukadake mmoja?
 
Ahsante sana kutunyima riziki, ila utambue kwamba sisi ndio tutakaokuzika siyo hao waswana wako.
 
Sasa kama unamaisha mazuri, kazi nzuri na mengine kilichokushinda nini?

au kwa sababu umekosa?

then kama wewe umeishi sana kusini mwa africa ilikuwaje ukashindwa kujua tabia za watu wake

kwa sababu hizo sifa ulizozisema ndo common sana kwa wanawake hapo botswana so kwa vyovyote vile
lazima ukubali

Mbona hata bongo asilimia kubwa ya wanawake ndo wapo hivi siku hizi

Ni hatari sana kuoa mwanamke anayetanguliza mali na pesa. Kama hilo gari nilikopa je nikishindwa kulipa na wakalipiga mnada ndio manake ndoa imekwisha?? Huo ni uchuro oa ni upofu. Na mwanamke wa namna hiyo hana sifa za kuwa mke.
Ilitokea cartoo moja kwenye gazeti, dada mmoja anatembelea magongo, bandeji kichwani, mikononi POP mguuni, anamuuliza shosti wake: Shoga yangu uliniponza. Mbona hukuniambia kuwa huyu mwanaume ni mkali namna hii?
Shoga yake akamjibu: ukali hukuniuliza, uliniuliza pesa na gari!
 
Sizitaki mbichi hizi! Kama ulikuwa na mpango na Mtanzania si ungekuja nyumbani..tungekuozesha, afu ukasepa naye huko Swanaland?
 
Mtu ameshakwambia siku nyingi hajarudi Bongo hivi huwezi kujuwa labda nauli ya Basi alikuwa hana? maana Botswana hata kwa basi unarudi Bongo.
 
wewe wakati unatafuta mke hukuw na vigezo vyako? kama vipo kwanini uvipinge vya wenzio?
 
Waswahili wanasema "usimtukane mamba kabla haujavuka mto na pia usimtukane mkunga angali uzazi ungalipo".
wewe unasema wanawake wa kiTz waliopo huko Btswana hawafai wakati wewe mwenyewe ni mtz na pia unaweza kuta umezaa watoto wa kike ambao baadae wanaweza kuja kuwa tishio nchini humo na kukufanya uchanganyikiwe.
So kuwa mwangalifu na maneno yako coz anytime u can enter in the trouble.
 
kaka nyumbani ni nyumbani,na cdhan kama wote waishio huko wako ivo,ila kwakuwa ulishatahadharishwa na wenzio ndo na ww ukageneralize
 
ahahahahhahahaha kuna mtu aliwahi kuweka thread humu za maneno wanayosema wanaume wakitoswa hebu mtu anikumbushe !IKIWEZEKANA NA DOTS ZIUNGANISHWE!
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom