Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
Wandugu
mimi nimeishi Nchi nyingi za kusini mwa Africa,nimegundua Wanawake wanaotokea nchi yetu ya Tanzania ukikutana nao huku ni matatizo matupu
mimi nilikuja huku nikiwa bado kijana sasa hivi naelekea utu uzima kidogo,nina maisha yangu mazuri kazi nzuri na mengineo mengi,lakini kwa kuwa sijasafiri kwenda Tanzania miaka mingi nilijaribu kutafuta wakina dada wa Nyumbani ili tukiweza kuelewana tufunge ndoa
jamaa zangu wanaoishi hapa walicheka sana nilipowapa hiyo habari,wengine walikejeli wakisema Wakina dada wa Tanzania walio hapa hawafai hata kidogo kuolewa,nilidharau nikaanza mitikasi ya kutafuta demu,nilipata mademu kama watatu lakini wote wana tabia moja,pesa mbele,unaendesha gari gani,unaishi nyumba ya aina gani,unafanya kazi gani.nilipata hasira sana sikujua kama watanzania tunaweza kuwa hivi
nimeamua kukamata mswana wangu mambo safi,wadada wa tanzania wakafie mbele,kwanza cha kushangaza wanazeekea hapa bila kuolewa huku wakitegemea kuolewa na matajiri
mswana wangu mambo safi hakuna matatizo,jirekebisheni nyie