Wanawake wa siku hzi no noumer..Mwanaume jichagulie jina

god with us

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
391
100
WANAWAKE WA DAR NA MAPENZI ACCORDING TO MONEY LEVEL

Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE
 
Kumbe ni wanawake wa DAR, Sisi wa huku Sekenani hatujui haya makitu
 
Kwenye menyu sipo sijui naitwa nani hapo?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Duh! sa kwa mwendo huo naona unataka watu wasichumbie dar sasa. Ok, kwahyo hao wanoonga 5000 mpk 50,000 inakuaje. Af mi hua naitwa sweetie. Inakuaje hapo mkuu.
 
Duh! sa kwa mwendo huo naona unataka watu wasichumbie dar sasa. Ok, kwahyo hao wanoonga 5000 mpk 50,000 inakuaje. Af mi hua naitwa sweetie. Inakuaje hapo mkuu.

Ujue kuna mwenzio anayeitwa hubby ake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom