Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,633
Habarini za siku nyingi wana jamvi,
Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.
Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio wote.
Tazama scenario hizi...
Juzi nilikua mgahawa mmoja jijini nikamuona binti mkali pembeni yangu nikaomba nimjoin akakubali, kuna time akapigiwa simu na mama yake bahati mbaya simu ikakatika, akaniomba atoke pembeni akanunue vocha ili ampigie, nikamwambia hakuna haja na palepale nikamtumia 10,000 tigopesa akajiunga ndio ukawa mwanzo wa kufahamiana, kesho yake nikapiga.
Siku nyingine nipo kwenye que bank, ilipofika zamu yangu nikamchekesha kidogo yule teller, baada ya kunihudumia nikampa tip na bussines card, baada ya siku 2 nikampitia.
Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, baada ya dk hizo kupita tukaanza story, tulipofika kobil pale hotelini Chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika Kimara Temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, baada ya kumchombeza kidogo akanielewa, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi.
Hii ni mifano michache tu kati ya mingi sana. Ingawa msitusumbue sana pia coz inaboa