Wanawake wa siku hizi hawataki kero, ukimkera tu umeachwa

Kibaya zaidi ajue kuwa unaigiza upendo kwake kuliko uanaume wako halisi ilimradi tu udumu naye ktk ndoa ndipo utakapojua kipi kilichomzuia kuku kukojoa
Yaani ushindwe kum-control mkeo kisa tu unaogopa kuachwa?
Utaishia kuwa Bushoke square.

Usipotumia akili na nguvu ya uanaume huwezi kuishi na mwanamke.
Anyway, kuna mengine umeongea sawa kabisa ni ukweli.

Siku zote usiishi kwa hofu ya kuachwa na mwanamke, hutoboi hapo. Ukiishi kwa hofu ya kuachwa utapata taabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu sema wanaume wenzio ni wabishi watakubishia
Wakibisha hainiumizi kichwa, acha wayaone wenyewe. Atakayebisha ataachwa then atakuja PM yangu kutoa ushuhuda kama kanisani vile
 
Endelea kutoshika simu yake akikosea ww mbembeleze ili asiondoke akichelewa kurudi home ww kaa kimya atanuna uyoo alafu ataondoka c unajua kupata mwanamke ni ngumu kuwa mkimya sawa kijana ndoa yako itadumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ushindwe kum-control mkeo kisa tu unaogopa kuachwa?
Utaishia kuwa Bushoke square.

Usipotumia akili na nguvu ya uanaume huwezi kuishi na mwanamke.
Anyway, kuna mengine umeongea sawa kabisa ni ukweli.

Siku zote usiishi kwa hofu ya kuachwa na mwanamke, hutoboi hapo. Ukiishi kwa hofu ya kuachwa utapata taabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nguvu mkuu, hivi mwanamke ukimuangalia amevaa gauni unamuona hana akili? Wanawake wanaakili na wanajielewa sana, sema hawapendi kero. Kumcontrol mkubwa mwenzio yataka moyo. Mwanamke anapokosea unamwambia na mwanaume ukikosea unaambiwa. Tatizo mwanaume akiambiwa anapokosea inachukuliwa mwanamke hana adabu. Msiishi kwa mazoea. Wanawake wa siku hizi wanajielewa sana.

Mwanaume huishi kwa hofu ya kuachwa bali ishi kwa upendo. Vitabu vinasema ishi na mwanamke kwa akili. Ukitaka ufaidi mwanamke, mheshimu, mpende muongoze na mkosoe kwa adamu. Hakika hutajuta
 
Mkuu uanaume si kumfanya mkeo aishi amepiga magoti, bali uanaume ni pamoja na kudhibiti hasira na kuona mbele kabla ya tatizo kitokea. Uanaume sio kufoka bali kuelewana na mkeo ikiwemo kumsikiliza n akumhudumia. Ukianza uanaume wako ndani ya ndoa jua kesho unaachwa. Nani anataka kero?
Unaachwa ww usisemee nafsi ya mtu kama ww unajiisi inferior sababu ya kukosa kitu flani usisemee ataachwa sifa ya mwanaume ni kuwa na maamuzi na kuwa muongozaji sasa ww mkeo tu unaogopa kumkemea kama amekosea jua ww hujijui kama ni mwanaume na wanawake ckuzote wanapenda wanaume ambaye anaweza kumkaripia na kumuonya pale anapokosea ww mbembeleze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unamzungumzia mwanamke yupi? Mke au girlfriend?..kama ni girlfriend ukimdekeza sana atakupanda kichwani.yani uogope kumchapa makofi eti kisa atakasirika na kukuacha?
Mapenzi kidekezana. Sasa unataka muishi kama upo jeshini? Mfanye mwanamke afurahie penzi lako. Mapenzi sio kuchapana makofi. Hivi unajisikia kumpiga mkubwa mwenzio kama mtoto? Mungu akusaidie.
 
Dadeq ni zaidi ya kulea yai.. huo upuuzi watafanya wanaume wanaolelewa na wake zao.. sio kwetu sisi, kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi akiondoka inakua kata mti panda mti.

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Nyie ndo mnamshangaa Mengi na hela zake anavyobembelezwa na Jaq. Ishike hii elimu nimekupa, usiiache iende zake.
 
Mwanamke husiruhusu kukutawala, tumepewa mamlaka ya kuwatawala. Ukimpa akutawale anaweza kukuambia leo anaenda kulala na x wake, maana ameshakudharau. Simama kama mwanaume tuna mamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom