Wanawake wa Saudi Arabia waanza vuguvugu mitandaoni kupinga Hijabu na Niqabs

Kila siku unaskia watu wanafunga ndoa western na wanasheria zao kabisa, wako huru kufirana mda wwte, wana mpaka siku zao za sherehe za ushoga unataka kuongea nn??? Usipanik bro, au ndio nyani aoni mk... wke
Wewe jamaa ni mgonjwa Wa akili iv dunia hii kweli kuna mashoga makubwa na mengi kama uarabun? Ebhu nenda Oman na Zanzibar watu wanafirana kinoma kama njugu watu wameenda mbali zaid na kulala na watoto wao. Yote hayo yanatokea palipo na uislam mwingi kama zenj na tanga na pwan kwa ujumla

Maswala ya ushoga hayana chama wala kabila au din lakin palipo na uislam na waislam ndo kuna ushoga Wa kutisha
 
1. Hakuna uhusiano kati ya mabadiliko ya wanawake kiutamaduni na dalili mbaya zijazo. Wanasayansi wameshathibitisha kwamba dunia imekuwapo miaka bilioni 4.5 iliyopita. Je,unaweza kuniambia wanawake miaka yote hiyo walikuwa wanavaa hijabu? Je,wakati tekinojia ya Nguo haijakuwepo duniani wanawake walikuwa wanafunikia nini vichwa vyao? Je,walikuwa wanaweka majani ya mipapai au migomba?

2. Mleta mada kama anaona kwamba wanawake kutofunika vichwa ni kukengeuka maadili,yeye mbona kwenye dhehebu lake sio sheria wanawake kufunika vichwa?

3. Watu hawatashindwa kwenda Mbinguni kwa sababu ya kutovaa hijabu au kuendesha magari.
Kama kuvaa hijabu ni amri ya Mungu katika imani husika,je kutokeleza amri bado sio kigezo cha kuzuia kwenda huko mbinguni?
 
Tatizo lenu mnapenda kuona watu wote wanaishi kama wazungu, kufirana, kuowana wanaume kwa wanaume nk ndio maana mnashadidia kuvaa kiajabuajabu, waachieni watu na tamaduni zao na sio kulialia apa jf
Sasa ushasema tamaduni zao,sasa wewe inakuuma nini??huyo mwarabu unamwona mwema na kumsujudia huko hao hao waarabu wanawatesa na kuwaua hatari,endeleeni huo upuuzi.
 
View attachment 872863
''Nimekata nywele zangu na kuvua niqab (kile kitambaa cha kuficha uso) nashangaa kwa nini nifiche uso wangu muda wote, nikagundua ni kwa sababu ya mazoea na tamaduni za kijinga ambazo haziniruhusu mimi kuwa huru'' Taraf Alsiri ambaye ndiye mdada wa kwanza kuvua sura na kujianika twitter na wengine kufuata.
View attachment 872868

# wanawake maferminist wanapongeza tukio hilo na kuwaita hao kama mashujaa.
#Vuguvugu liloanza hata waziri wa elimu ya wasichana alipoonekana akiwa hajafunika uso na kuzua sintofahamu huku jamii ikigawanyika wengine wanaunga mkono wengine wanapinga.
#Mwanzoni mwa mwaka huu Mtoto wa mfalme wa Saudia alipohojiwa na TV moja ya kimarekani CBS Mohammed Bin Salman alisema sheria haikatazi wanawake wasijifunike sura, ila inasema wavae kwa staha.

MY TAKE:
-Vuguvugu la uhuru wa mwanamke ambapo linaenda sanjari na vuguvugu la Usodoma na usagaji (LGBT) halizuiliki ili yote yatimie kama Yalivyoandikwa.
-Yajayo Yanafurahisha

Source;
#SolidaritywithTaraf: Saudi Women Join Online Movement by Removing Niqabs, Hijabs
Ila suala la kufunika nywele naona lilianza zamani sana hata kabla ya yesu hajazaliwa nikama mila za watu wa middle east na Asia
 
Sasa ushasema tamaduni zao,sasa wewe inakuuma nini??huyo mwarabu unamwona mwema na kumsujudia huko hao hao waarabu wanawatesa na kuwaua hatari,endeleeni huo upuuzi.
Kuhusu kutesa hata Afrika tunatesana kaka, tunafanyiana mambo mchafu sana kama kuuwana kwa sababu kama za kisiasa, kimali nk. Haijaalishi muarabu au mzungu kila mmoja apo ana unyama wake ata sisi waafrika
 
Kuhusu kutesa hata Afrika tunatesana kaka, tunafanyiana mambo mchafu sana kama kuuwana kwa sababu kama za kisiasa, kimali nk. Haijaalishi muarabu au mzungu kila mmoja apo ana unyama wake ata sisi waafrika
Kumbe mkuu unaelewa,sasa tunahaja gani ya sisi kama waafrica kuchukiana kisa hao watu,ubaya kila mtu anao..usiwaone hao kama masaint yani hawana dhambi,hayo mavazi hayampeleki mtu mbinguni mkuu
 
Pale unapochanganya mila zilizopitwa na wakati na imani na kulazimisha kuwa eti hazitakiwi kubadilika kisa imeandikwa. Jamii inaelekea kwenye ustaarabu huweze kugandamiza watu wenye akili timamu kwa mila za kipindi cha BABARIZIM kwa karne ya sasa huwezi kupinga uhuru wa mtu aliyezaliwa huru kama wewe, unakuwa ndio kiranja wa kumpangia avae nini kana kwamba anatumia ubongo wako kufikiri ama ulimuumba wewe
 
weka video tumsikie akisema sio wewe umsemee unaweka picha za warabu wa kibongo halafu unatupa maelezo
 
wanaume tunateketea na macho yetu hivyo hawa jamaa waliamua kuwaficha wanawake ili kuwaokoa wanaume na ukwale na uroho.
japo jambo hili linachangamoto sana katika jamii yetu hasa shule kwa jinsi nilivyo chunguza kwa huku mikoani na hasa mikoa yenye waislamu wacache watoto wanaofaa hizi nguo wengi hawana mchanganyiko mnzuri na wenzao na wakati mwingine huchangia kufanya vibaya katika masomo.
najua mtakataa lakini ndo ukweli hawawafukuzi ila hawajisiki vizuri kuchanganyika nao na hasa vijijini. vinginevyo mzazi ana uwezo na mchango katika jamii.
 
Kumbe mkuu unaelewa,sasa tunahaja gani ya sisi kama waafrica kuchukiana kisa hao watu,ubaya kila mtu anao..usiwaone hao kama masaint yani hawana dhambi,hayo mavazi hayampeleki mtu mbinguni mkuu
Suala sio kuwa mavazi ayampeleki mtu mbinguni, suala ni PROPAGANDA za watu flani na media flani kuchafua upande flani, ionekane kuwa upande flani hauna haki za binaadamu eti kwa sababu wanajistiri kwa mavazi miili yao
 
Utukufu mbele ya Mwenyezi Mungu haupimwi kwa mavazi ila matendo yako. Kuna dini au madhehebu mengine yako concerned sana na mambo ya kimwili (zaidi hata ya kiroho) ambayo actually ni very superficial.

Kwa sisi wakristo, pamoja na kwamba Jesus Christ hakuongelea mambo ya mavazi lkn tukubali tu kwamba kimaadili ni vema mtu ajisitiri vizuri japo hilo sio ticket ya kukuingiza peponi.

Kwa reference zaidi, mnaweza mkapitia baadhi ya mistari hapa: Kutoka 20:26: Petro 3:3-4 Na Timotheo 2:9-10.
 
Zote hizo ni tabia za dini hii ya waabudu majini na mtume wao wa uongo. Wanapenda kuchinja wengine ilhali wao ni wachafu. Wao wanaishi kwa hadithi za huyo kaaba mkuu, na hiyo kurani yao na mafundisho ya wapagani wa Mecca.
Kuvaa vazi la stara au heshima haimaanishi kama ww sio muhuni, wangapi wanavaa makanzu na vilemba na wameuwa maelfu ya watu, tabia na mavazi ni vitu viwili tofauti kaka
 
Back
Top Bottom