Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,947
- 1,797
Na wewe huna utamaduni wa kusoma vema michango katika uzi kabla ya kujibu,sio uchunguzi wangu, bali ni habari na source umewekewa, na unaweza kuingia twitter ukawafuatilia wahusika.
ni vizuri kuwa na utamaduni wa kusoma kabla ya kucomment.
nimesema kama hii habari vyanzo vyake ni kutoka Magharibi basi hakuna lolote ila ni propaganda. Kwani siku zote wanapambana kuhakikisha wanawake wa Saudia wanatembea Uchi kama wao na hilo jambo ni gumu kamwe, na ndo maana waovu wengi wa Saudia wanalazimika kusafir mpka Dubai kwenda kufanya starehe zao na si Saudia