Wanawake wa PWANI

ustaadhi... mie napenda mwanamke ambaye kabila lake silijui..... lakini ambaye hajatulia ili nimfaudu vizuri na nijihakikishie uhai
 
Mambo yote kiuno bwana na kiuno hakina kabila wala mkoa wala kanda, kama mwanamke amejaliwa uwezo wa kuzungusha kama feni hakuna starehe kama hiyo!
 
watu wanaotoa sifa za wanawake wa sehem fulani hivi, kwa namna moja au ingine wamekuwa na tabia za ambazo si nzuri....na possibly hawajaoa na wamekuwa wanatembea na kila mwanamke anaemkuta barabarani....

Bikra muhim na inapatikana kwa baadhi ya familia...Labd watu wafanye utafiti Je wanafunzi waliopo VYUO VIKUU wangapi wanabikra?, then tuwaangalia hao, walionazo au kutokuwa nazo wanatoka mikoa ipi....

Pia si wote mafiga 3...inategemea na malezi ya Familia. Mara Nyingi unapooa angalia Tabia na mwenendo mwema wa Huyo dada. Pia unaweza jiuliza mwanamke huyo mara ya kwanza kukutana si kimwili ilikuwa wapi.Bar au DISKO au chuoni mkisoma...in that case unaweza angalia nature ya maisha yako itakuwaje...

Pia Mwanamke kukupa style, it does not mean that ametembea na wengine...(unless mlikutana disco au BAR) others wamelearn from their elders, na dotcom society..learn from internet board kama hizi...
 
I prefer mwanamke aliyechezwa
Game theory - Kwani asiyechezwa lakini akajitafutia ujuzi na maarifa through reading, listenig etc ana tofauti gani na aliyechezwa..if I may play the devil's advocate

Chuma - I like your thinking...ila kuwa bikra..ni kwa wanawake tu au hata wanaume?.... wangapi wana hiyo hali kabla hawajamuoa huyo bikra? Hata wanawake wanapenda wanaume wanaojiheshimu... wenye staha katika masuala haya nyeti
 
hivi huku pwani waweza kumkuta hata mmoja .

najua wengine mtanipinga kuwa labda niliona kama siko fiti, nikaenda kumchukua mlemavu ktk mambo hayo ili tufanane, sio, nilishakuwa na watu wa huku kibao. ila nilikuwa nawachezea tu, nilikuwa sitaki kuwaoa, kwasababu nilikuwa naona kinyaaa, nikilala nao, najua kuwa, hata wenzangu wameshalala nae hadi wamemchoka, yeye ni kama chombo tu cha starehe kwa wanaume wengi, na si ajabu pale tulipolala anamfikiria mwanaume mwingine. nilikuwa nahisi kama nimelala na sanamu tu, pamoja na kwamba wana ufundi na uzoefu mkubwa. ndo maana nikaamua kubeba mzigo mpyaaaaaa, mimi mwenyewe namfundisa na anafundishika. hivyo, wanawake wa pwani siwataki hata kuwaona.

Kidzogoale,hata sisi tukiona wanaume wenye wanawake lukuki,tunaona wahuni na hawafai,tunawashusha thamani,na kunakuwa hamna penzi asilani,ndio maana tunakuwa tunapenda pea ,maana tunajua kesho unamwingine,NA SISI TUNAPENDA WANAUME WALIUTULIA NA UPENDO WA DHATI.
 
piga ua...ma binti wa pwani ne second to none in my opinion

wakishapika wao hufukiza nyumba...na miili yao huku wasikiliza IKHWAAN wanaimba Mapenzi Yanatabu
 
hivi huku pwani waweza kumkuta hata mmoja ambaye ni bikira?kama sio bikira, utakuwa na uhakika gani kama mtu wake wa zamani umemzidi kiufundi?, nataka kumaanisha kuwa, kama mtu akioa mtu wa pwani, ajue kuwa anacho kibarua kigumu sana. kwasababu karibia wote wamemiminiwa zaidi ya mara mia tano. ila, huwezi amini, mkoani, nimekuta wanawake kibao wenye umri miaka zaidi ya ishirini mabikira. mimi ndo napenda hao, na nikaamua kuoa huyo. ndoa yake ni tamu sana, kwasababu anakufahamu wewe tu, na ni waaminifu na waoga kinoma.

najua wengine mtanipinga kuwa labda niliona kama siko fiti, nikaenda kumchukua mlemavu ktk mambo hayo ili tufanane, sio, nilishakuwa na watu wa huku kibao. ila nilikuwa nawachezea tu, nilikuwa sitaki kuwaoa, kwasababu nilikuwa naona kinyaaa, nikilala nao, najua kuwa, hata wenzangu wameshalala nae hadi wamemchoka, yeye ni kama chombo tu cha starehe kwa wanaume wengi, na si ajabu pale tulipolala anamfikiria mwanaume mwingine. nilikuwa nahisi kama nimelala na sanamu tu, pamoja na kwamba wana ufundi na uzoefu mkubwa. ndo maana nikaamua kubeba mzigo mpyaaaaaa, mimi mwenyewe namfundisa na anafundishika. hivyo, wanawake wa pwani siwataki hata kuwaona.

kwanza ulitakiwa na wewe uwe bikira huoni kama umempunja mwenzako?
pia unasema wanawake kibao ni mabikra ina maana kuna uliwawabikiri na hujawaoa?huoni kwamba wewe ulikuwa ni muharibifu?
 
...hala hala "kuonja onja-ring" mwanamke wa pwani, lolote laweza tokea mfano;

kurudi kwa mama watoto ilhali wanukia mafuta ya ghulabi!
 
piga ua...ma binti wa pwani ne second to none in my opinion

wakishapika wao hufukiza nyumba...na miili yao huku wasikiliza IKHWAAN wanaimba Mapenzi Yanatabu

...swadakta, ufundi wao wa kupika mahanjumati na mashatashata, kuandaa meza mpaka 'kutandika kitanda' mfanowe sijauona!
 
Jamani eeh!! Kwani hayo yote ya kuzungusha mpaka dirishani ukachungulia nje, mahanjumati na mafukizaji hivi wa bara akifundishwa hawezi kufanya au ndio mnataka medula oblongata zenu zitufanye tuamini kuwa pwani ndio kila kitu???

Mi naamini kuwa hata wao walifundishwa how to do those things otherwise hiyo sifa wasingeipata. Pia tukubali kuwa kila mwanaume anavutiwa na radha yake. Sisi wengine bwana demu anachukua mtama kitu na box ndio burudani yenyewe.....teh!!!teh!!!teh!!!

Kuna madem wa huko huko bara mzee ukikutana nae na mambo utakayopata nadhani hao wa pwani utaona cha mtoto.
 
...mkuu, mnazi wa pwani ukiuotesha bara utazaa?!

mwanamke wa bara hata ukimfunda mambo ya pwani ladha yake si kama ile ya asilia...

mambo ya "kipendacho roho" ndugu yangu,

...mwanamke wa kinyamwezi lake jembe!!!
 
Mwanamke wa pwani shurti umbea kusutwa kwake sunna!

Mwanamke wa pwani shurti awe na shoga wa kumweleza kila kitu anachofanyiwa au kumfanyia mumewe/mpenzi, no privacy na midomo yao haina brake!

Kwa mwanamke wa pwani kuruka ukuta marhaba!

Mwanamke wa pwani haaminiki, anauma na kupuliza kama panya, ni rafiki wakati wa raha!

Mwanamke wa pwani shurti mafiga matatu!

Mwanamke wa pwani shurti kwa limbwata...basi hapo mwanaume hafurukuti, lau ndoa haifungwi hadi kwa ramli!

Mwanamke wa pwani shurti atumie shabuu!

Mwanamke wa pwani zaidi ya kupika na kukata viuno si mtafutaji!

Mwanamke wa pwani kujifukiza udi, usafi wa mazingira kizungumkuti, nyumba yake kuzungukwa na maji machafu na taka nyinginezo! badala ya kusafisha anajidai anaona kinyaa na kuilalamikia serikali!

Mwanamke wa pwani hatumii nyama ya ulimi, mwanaume hupelekwa kama kuruta!
 
Mwanamke wa pwani shurti umbea kusutwa kwake sunna!

Mwanamke wa pwani shurti awe na shoga wa kumweleza kila kitu anachofanyiwa au kumfanyia mumewe huyo, no privacy na midomo yao haina brake!

Mwanamke wa pwani shurti mafiga matatu!

Mwanamke wa pwani shutri kwea libwata...basi hapo mwanaume hafurukuti, lau ndoa hifungwi hadi kwa ramli!

Mwanamke wa pwani shurti atumie shabuu!

Mwanamke wa pwani zaidi ya kupika na kukata viuno si mtafutaji!

Mwanamke wa pwani hatumii nyama ya ulimi, kwa mwanaume hupelekwa kama kuruta!

Mama tafadhali nyambulisha..wenzio unatuacha makutano ya barabara ya kawawa na Morroco!
 
Jamani what is mafiga matatu lakini? mimi mdada wa pwani shida yangu moja tuu..asipake Hinna....I really feel VERY uncomfortable with those things on her hands/leggs/body! Damn it...anyway kila mtu ana radha yake...so Kunradhi GT na wengineo wote...wanaopenda...
 
masanja mafiga matatu ni msemo utumikao kuelezea jinsi wanawake au wanaume wanavyowork as mafiga matatu...mafiga ni yale mawe matatu ambayo vijijini na zamani watu walikua wakitumia kupikia..ni lazima yawe matatu ndio sufuria ikae vizuri,ukitoa hata moja tu,sufuria yaanguka atiii sasa hapo we mwenyewe fikiria wanamaanisha nini ila hint ni kuwa hautokua peke yako ukioa huko pwani...

similar mfano ni ule wanasema mwanamke wa pwani akienda kisimani kuchota maji hata kama anahitaji ndoo moja,basi ataenda na ndoo hiyo na visadolini hata viwili,anakwambia kisa ni kuwa akishajaza hiyo ndoo wakati akitembea kurudi nyumbani maji humwagikaga,so akifika hujazia na vile visadolini kwenye ile ndoo yake...
maana ni kuwa wewe ukioa wawa kama ndoo ilee,kadri siku zinavyoenda watafutiwa visadolini vya kukusaidia pale penye mapungufu babaaa!!upo hapoo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom