Wanawake wa PWANI

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,457
2,000
masanja mafiga matatu ni msemo utumikao kuelezea jinsi wanawake au wanaume wanavyowork as mafiga matatu...mafiga ni yale mawe matatu ambayo vijijini na zamani watu walikua wakitumia kupikia..ni lazima yawe matatu ndio sufuria ikae vizuri,ukitoa hata moja tu,sufuria yaanguka atiii sasa hapo we mwenyewe fikiria wanamaanisha nini ila hint ni kuwa hautokua peke yako ukioa huko pwani...

similar mfano ni ule wanasema mwanamke wa pwani akienda kisimani kuchota maji hata kama anahitaji ndoo moja,basi ataenda na ndoo hiyo na visadolini hata viwili,anakwambia kisa ni kuwa akishajaza hiyo ndoo wakati akitembea kurudi nyumbani maji humwagikaga,so akifika hujazia na vile visadolini kwenye ile ndoo yake...
maana ni kuwa wewe ukioa wawa kama ndoo ilee,kadri siku zinavyoenda watafutiwa visadolini vya kukusaidia pale penye mapungufu babaaa!!upo hapoo???

Mtaalamu, kweli wewe mtaalam! Huo mfano wa visadolin umenirudisha mbali sana mkuu!

Thanks a bunch my friend! Ama kweli...yaani nimecheka sana......
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,332
1,250
Mtaalamu, kweli wewe mtaalam! Huo mfano wa visadolin umenirudisha mbali sana mkuu!

Thanks a bunch my friend! Ama kweli...yaani nimecheka sana......

hahaha ya welcome musee ndo mambo ya pwani hayooo!!
 
Scorpion

Member
Jan 19, 2008
21
0
Jamanii hakuna hata mmjona anayechangua mwanamke wa kikurya au watani zao wahaya?? nao pia wamo!!
 
NANOO

Member
Jun 9, 2008
27
0
Pwani kuna raha yake jamani, utanajua hapa cha kuangalia ni handlering si mwajua pwani kwa mahaba, waweza kuwa huna hata senti lakini ukajiona tajiri kwa kubembelezwa.
Mambo ya pwani ni Pole, Asante na Samahani ila sasa umkute aliyefundwa akafundika na mzoefu wa kumlea mwanaume babu.

Kungwi lao!

muhimu awe mke mwema jamani
 
Raia

Member
May 9, 2007
55
0
wanawake wote wko sawa si wa BARA wala PWANi kwani mapenzi ni maridhiano ya pande zote mbili na kufikishana pale wote mnapopataraji. Kama unatafuta mke ndugu yangu waweza pata wa bara au wa pwani na akawa kimeo, mke ni mjuvi kwa mafundo aliyopata kutoka kwa kungwi wake.
 
Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
195
(najua wengine mtanipinga kuwa labda niliona kama siko fiti, nikaenda kumchukua mlemavu ktk mambo hayo ili tufanane, sio, nilishakuwa na watu wa huku kibao. ila nilikuwa nawachezea tu, nilikuwa sitaki kuwaoa, kwasababu nilikuwa naona kinyaaa, nikilala nao, najua kuwa, hata wenzangu wameshalala nae hadi wamemchoka, yeye ni kama chombo tu cha starehe kwa wanaume wengi, na si ajabu pale tulipolala anamfikiria mwanaume mwingine. nilikuwa nahisi kama nimelala na sanamu tu, pamoja na kwamba wana ufundi na uzoefu mkubwa. ndo maana nikaamua kubeba mzigo mpyaaaaaa, mimi mwenyewe namfundisa na anafundishika. hivyo, wanawake wa pwani siwataki hata kuwaona.)

Hivi Mkuu, kutokana na maelezo hayo yako hapo juu, kama nao wangekuwa wanatafuta, huoni kama vile umefanana nao? Au wao ndio wanatakiwa wawe mabikira tu na wanaume wasample tuu mpaka pale watakapoona wamechoka?
 
Boma

Senior Member
Apr 5, 2008
189
0
Jamani mambo yote wanawake wa kichaga, utafurahi kwa wanaojua mapenzi ni zaidi ya wanaoenda unyago
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000
Jamani mambo yote wanawake wa kichaga, utafurahi kwa wanaojua mapenzi ni zaidi ya wanaoenda unyago

...uzoefu unanikatalia sentensi hiyo...anyway, nisihukumu samaki mmoja aliyeozea kundini!

mwamba ngoma eeeh!?
 
Jobo

JF-Expert Member
May 15, 2008
587
225
Hivi pwani ni kabila lipi tunalolisema hapa? waruguru na wapogoro nao ni wa pwani? Maana nasikia na wao si mchezo kwa mambo ya kikubwa!
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,849
0
summary ya wanawake wa baadhi ya makabila

BAHAYA WOMEN
First Date: You both get blind drunk as you dance to Saida Karoli and later have sex.
Second Date: You both get blind drunk as you dance to Saida Karoli and later have sex.
20th Anniversary: You both get blind drunk as you dance to Saida Karoli and later have sex.

CHAGGA WOMEN
First Date: You get to buy her Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance the whole night. You have to buy her credit, to organize for the second date.
Second Date: You get to buy her and her girlfriends Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance to the whole night. You exchange your expensive phone with her nokia.
Third Date: You get to pay her rent.
Tenth Date: She tells you she is engaged and you are a kyasaka

SUKUMA WOMEN
First Date: You take her to a movie and an expensive restaurant.
Second Date: You meet her parents and her Mom makes ugali and chicken.
Third Date: You have sex, she wants to marry you and insists on a 3-carat ring.
4th Anniversary: You already have 3 kids together and hate the thought of having sex.
5th Anniversary: You find yourself a girlfriend.

HEHE WOMEN
First Date: You buy her an expensive dinner, get drunk on Guinness, and have sex in the back of your car.
Second Date: She's pregnant.
Third Date: She moves in. One week later, her two sisters, her brother, all of their kids, her two cousins, her sister's boyfriend and his three kids move in ... and you get to eat rice and beans for the rest of your life in your home that used to be nice before you met her .

ZARAMO WOMEN
First date: You get to buy her dinner, but you realize nothing is going to happen.
Second date: You wait for her in the same restaurant but she gets lost on the way.
Third date: She does not even remember to pick your calls.

NYAKYUSA WOMEN
First date: After a date of drinking several bottles of Fanta, you get to kiss her goodnight.
Second date: You get to grope all over and make out.
Third date: You get to have sex, but only in the missionary position.

ZANZIBARI WOMEN
First Date: You get dynamite head.
Second Date: You get more great head.
Third Date: You tell her you'll marry her and never get head again.

MAASAI WOMEN
First date: You get to buy her an expensive dinner, but nothing happens.
Second date: You buy her an even more expensive dinner. Nothing happens again.
Third date: You don't even get to the third date and you already realized nothing is going to happen.

MAKONDE WOMEN
First date: Meet her parents.
Second date: Set the date of the wedding.
Third date: Wedding night and you get to ask her, her name

PARE WOMEN
First date: She wants sex, no food or drink
Second date: She wants more sex
Third date: She only wants chuma mboga

DIGO WOMEN
First date: She wants your home address
Second date: She comes home for the date with her brother (who is looking for a job)
Third date: She ends at the door, her mother is waiting
Fourth date: You have sex and she tells you she is pregnant and want you to take her and her baby
 
murra wa marwa

Senior Member
Apr 24, 2008
150

Una mambo mke wangu! he he heee
 
Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,081
0
kwani kuruka ukuta maana yake ni nini?

d_oh__bez9.bmp

soccer1.jpg
 
sumar

Member
Jun 15, 2008
36
0
Subalkheri mpenzi waonaje hali yako,
Mimi huku sijiwezi, kwa huba na bashasha zako.

Nyama zetu za ulimi, ambazo tukipeyana.
Na mengineyo sisemi, mengi tukitendeyana.

Bara yapo haya!!! Mliye tuuuuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom