Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Nimejaribu kusoma post yako nara mbili ili nielewe kinachokuvutia hapo ni nini? Labda staili ya nywele au?? Sijaelewa yaani. Maana sioni asili yao ipo kwenye nini. Kama ni Make up wamepaka kama yote. Nywele zenyewe ukiangalia vizuri siyi asili kwa tafsiri ya asili ilivyo.
Weka na wewe picha Yako halisi hapa labda utapendwa.
 
Mimi ugonjwa wangu ni mwanamke akivaa zile nguo za kiislam(hijabu) aiseee naweza kufanya chochote. Na hii imenipelekea kuwa katika mahusiano na mabinti wa kiislam pekee nadhani mpaka umri huu.
 
Kuna mmoja hapo nilimtafuna kwa kuunganishiwa nikalipa 500k hakuna kitu kidogo nidai shekeli zangu.

Waoneni tu hivyo
Whaaat!!! 500k kisa ngono ??? Aisee una hatari nyingi wewe!
Braza ukiendelea hivi utajiri utausikia kwenye bomba tu!!!
 
Back
Top Bottom