Wanawake wa Mwanza Jiji na unywaji wa Pilsner ya 1000

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wanaume wenzangu wa Mwanza msitumike kizembe kulipia hela ya Savannah na bia za bei mbaya wakati kuna mademu wengi kuanzia hapa Kona ya bwiru the dream resort mpaka diamond outlink ni wanywaji wa pilsner za buku buku tu

Hawa mademu wa Bongo mkiwaingia kichwa kichwa watawapiga sana hela na JF mnavyojifanya madigala kumbe wengi humu ni choka mbaya tu ila ID fake zinawasitiri,basi wale wa ID fake wa Mwanza Malaya wengi na mademu wengi wa hapa wanakunywa Pilsner za buku buku ,kumbukeni na watoto nyumbani.
_XT211287-854x1000.jpg
FB_IMG_16268522369370183.jpg
 
Back
Top Bottom