Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,528
- 6,085
Kama wiki mbili hivi nimekua bize nilikuwa na mgonjwa hospotalini Muhimbili,kwa kuwa alikuwa wodi ya wazazi(wajawazito) niliweza kujifunza mengi hasa tatizo la akina mama kujifungua kwa matatizo kutokana na maradhi ya presha na kifafa cha mimba.
Ndugu zangu hari hizi zinatishia sana mustakabari wa uzazi,miaka ijayo hari inaweza kuwa mbaya zaidi hasa kwa wanawake wa mijini,nashukuru nimekulia kijijini,kwa asilimia kubwa sana wanajifingua bila hata matatizo,unakuta mama amezaa watoto 15 bila shida yoyote na mpaka siku anajifungua bado anapiga kazi na wapo wanaokosea hata kuhesabu miezi hadi kupelekea kujifungulia mashambani.
Kuna haja ya kuangalia VYAKULA,MAADILI NA MAZOEZI, hizi chipsi yai,dompo kuna muda muwe mnazipiga pending,mnavaa nguo zisizo na maadili na wengi ikifika miezi sita hata kutembea ni shida,au ndio hivyo mimba ina mwezi ushaanza kupost picha za tumbo lako Instagram,tujaribu kurekebisha baadhi ya vitu zaidi nawapongeza akina mama wote na Muumba wa mbingu na ardhi awafanyie wepesi katika suala zima za uzazi na uleaji.