Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,816
Katika kipindi cha karibuni kumekuwa na trend ya masista du wengi hapa mjini kujipendekeza kwa wanaume wa ki Afrika Wenye asili ya Nigeria. Wengi waki hadaiwa na pesa ndogo ndogo na safari za uarabuni.

swali langu kwa kina Dada WaNigeria mnawafahamu au mnawasikia tu ??.

Binafsi nimekuwa na experience ya kuwa na urafiki na hawa watu kipind nilipokuwa nchi mmoja kusini mwaAfrika,Kwa experience yangu ndogo ni watu wenye juhud katika utafutaji lakini mbali na hivyo ni watu wenye kando kando nyingi kuliko watu wa nchi nyingine yoyote barani Afrika.

Ni vyema ukatambua jambo unalojiingiza. Binafsi nimeshaona watu wenye asili ya huko wakiBadili wanawake karibu kila siku atakayokuwa mzima afya, Mtu akimuuza mke/girlfriend wake kwa vikundi vya kihuni ili apate hela, Mwanamke kupelekwa katika madanguro na bwana ake mwenyewe.

Mwanaume kumuuzia msala girlfriend wake na kupata kifungo cha muda mrefu, Watu kuwafanyia some embarrassing sexual activities aibu hata kuvitaja hadharani (wanawake wao)wakiwa katika vikundi na mengine mengi anayefahamu anaweza kuongezea .

N.B.
Andiko hili halina lengo kuchafua watu wenye asili ya taifa Fulani bali lina elezea uzoefu binafsi juu ya watu wenye asili ya huko.
 
Back
Top Bottom