Wanawake wa kitanzania baadhi ni wajinga.

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Hello! Kauli hizi za 'vipi ukifa nitaishi vipi na watoto?' na nyinginezo mara nyingi hutamkwa na wanawake wachche ambao wanajua mwanaume ni LAZIMA atawahi kufa.

Mbona Ulaya hatuoni? Tazama Bush, Obama na wengineo wengi tu, kuna shida gani huku kwetu?

Yaani wake za Marais wote wapo hai, wanaume wa kitanzania shida nini?

Hii inafikirisha mno!
 
Nadhani ni kwa sababu ya mfumo wetu dume. Wanawake kwa kiasi kikubwa wanategemea wanaume. Ila mwanamke mwenye busara hatakiwi kusema mambo kama haya hasa kama mumuwe anamheshimu.
 
Spana nyingi mkuu
Kodi
Tozo
Ada
Ulozi
Lawama
Stress & mawazo
Yaani kifupi ukiinama nchale ukiinuka nchale lazima utiki mapema tu.
 
Hello! Kauli hizi za 'vipi ukifa nitaishi vipi na watoto?' na nyinginezo mara nyingi hutamkwa na wanawake wachche ambao wanajua mwanaume ni LAZIMA atawahi kufa.
Ha ha ha. Naona mzee wangu umetishika...wanawake wa siku hizi wanatubetia tukiwa tunaona live..
Ajabu sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom