Wanawake wa kinyamwezi

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Wakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao
 
Wengi wao wanaamini ushirikina sana sasa inategemea huyo familia yao ikoje..au pia na wewe km una hofu ya Mungu au km ni mteja wa waganga /wachawi
 
ungeenda wakati wa kampeni za igunga unepata data zote....lkn wako poa tu na wanayajua majambo vizuri sana?
 
Hawataki upuuzi; wanajua wanachokihitaji na wanauhakika wa kukipata! They r can be very romantic kwa wanaume wasio vichomi!
 
Utakuwa shemeji yangu!karibu sana nyumbani.Wazuri sana dada zangu,wapole,wanajua mapenzi na ni wakarimu sana hasa kwa wageni!halafu wanajua sana mambo ya kitchen<kukaanga>ila hawapendi kuonewa,.vinginevyo mtapigana!mmmh habari ya ushirikina si kweli<after all waafrika wote wanahusudu hiyo>,,,kwa hiyo we lete hizo ng"ombe zetu fasta shem!
 
Wakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao

wana heshima balaa, tena wanajituma kwa kazi, utiifu, tatizo wengi weusi si umeona kule Igunga mkuu?
 
Wengi wao wanaamini ushirikina sana sasa inategemea huyo familia yao ikoje..au pia na wewe km una hofu ya Mungu au km ni mteja wa waganga /wachawi
labda kama unatoka sayari ya MARS ndio hizi habari zinaweza zikawa hazipo ila kila kabila kuna watu wanaendekeza ushirikina acha kumpotosha mwenzako
 
Wakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao
ushauri :ujapotea njia kwa kweli, naona heshima na utii kutoka kwa shangazi zangu ,dada zangu na mama yangu aliyenizaa . pia hata wanawake wakijiji nachotoka
karibu ndugu kwenye society ya kina lipumba ,sitta, kapuya na maganga mkweli peleka tu hao ng'ombe ndugu ufarahie maisha
 
WEeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Aisee utakula ile kitu inayowekwa kwenye K kwa siku kadhaa then utashika adabu yako. Nenda kaoe uchagani, hasa kule machame mkuu, si unacheki watoto wa kimachame walivyo bomba mkuu.
 
Kama amezaliwa na kukulia huko unyamwezini unatakiwa uwe na nguvu za kiume na za mwili za kutosha manake hao ni sawa na wasukuma,kama wewe ni legelege kimbia mkuu maanake hao ni watoto waliokulia ugali wa dona la mtama,michembe na masunga, hivyo sio sawa na watoto wa chips kuku na wali njegere na pilau
 
Mhhhhhhhhhhh! unamanisha nini hapo kwenye red n bolded, feis buku? Umentisha mie, we si mwanamke umejuaje? Au mi ndo nimeenda mchomo nini kwenye kutafsiri hii kitu!

anayajua hayo huyo na huenda anatumia, we huni ni mtoto wa kizazi cha facebook? Huoni hata jina lenyewe?
 
labda kama unatoka sayari ya MARS ndio hizi habari zinaweza zikawa hazipo ila kila kabila kuna watu wanaendekeza ushirikina acha kumpotosha mwenzako
Dont quote me wrong bro..nimesema jinsi niwajuavyo huo ndio ukweli achen kuficha bana
 
MHHHHHHHHH
hongera sana
inategemea mtu na mtu
maadam ni binadamu
mapungufu na mazuri yote yapo
 
Utakuwa shemeji yangu!karibu sana nyumbani.Wazuri sana dada zangu,wapole,wanajua mapenzi na ni wakarimu sana hasa kwa wageni!halafu wanajua sana mambo ya kitchen<kukaanga>ila hawapendi kuonewa,.vinginevyo mtapigana!mmmh habari ya ushirikina si kweli<after all waafrika wote wanahusudu hiyo>,,,kwa hiyo we lete hizo ng"ombe zetu fasta shem!
Your qouting me wrong also ..SIJAMAANISHA WOTE....mimi ni afrikan ila sihusudu nachukia ushirikina hauna faida kwangu zaidi ni uharibifu tuuu...by the way..AISIFUYE MVUA...
 
Your qouting me wrong also ..SIJAMAANISHA WOTE....mimi ni afrikan ila sihusudu nachukia ushirikina hauna faida kwangu zaidi ni uharibifu tuuu...by the way..AISIFUYE MVUA...

Sasa we mbona hueleweki bana?,,halafu mbona wewe ndiye unaesifia hiyo mvua?wacha kuji contradict!kama hauhusudu ushirikina umeuleta hapa wa nini?we unaonekana mdau mzuri wa ushirikina wewe!
 
Back
Top Bottom