Wakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao
labda kama unatoka sayari ya MARS ndio hizi habari zinaweza zikawa hazipo ila kila kabila kuna watu wanaendekeza ushirikina acha kumpotosha mwenzakoWengi wao wanaamini ushirikina sana sasa inategemea huyo familia yao ikoje..au pia na wewe km una hofu ya Mungu au km ni mteja wa waganga /wachawi
kisamvu chao kunoga!
ushauri :ujapotea njia kwa kweli, naona heshima na utii kutoka kwa shangazi zangu ,dada zangu na mama yangu aliyenizaa . pia hata wanawake wakijiji nachotokaWakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao
kisamvu chao kunoga!
Mhhhhhhhhhhh! unamanisha nini hapo kwenye red n bolded, feis buku? Umentisha mie, we si mwanamke umejuaje? Au mi ndo nimeenda mchomo nini kwenye kutafsiri hii kitu!
Dont quote me wrong bro..nimesema jinsi niwajuavyo huo ndio ukweli achen kuficha banalabda kama unatoka sayari ya MARS ndio hizi habari zinaweza zikawa hazipo ila kila kabila kuna watu wanaendekeza ushirikina acha kumpotosha mwenzako
Your qouting me wrong also ..SIJAMAANISHA WOTE....mimi ni afrikan ila sihusudu nachukia ushirikina hauna faida kwangu zaidi ni uharibifu tuuu...by the way..AISIFUYE MVUA...Utakuwa shemeji yangu!karibu sana nyumbani.Wazuri sana dada zangu,wapole,wanajua mapenzi na ni wakarimu sana hasa kwa wageni!halafu wanajua sana mambo ya kitchen<kukaanga>ila hawapendi kuonewa,.vinginevyo mtapigana!mmmh habari ya ushirikina si kweli<after all waafrika wote wanahusudu hiyo>,,,kwa hiyo we lete hizo ng"ombe zetu fasta shem!
MHHHHHHHHH
hongera sana
inategemea mtu na mtu
maadam ni binadamu
mapungufu na mazuri yote yapo
Your qouting me wrong also ..SIJAMAANISHA WOTE....mimi ni afrikan ila sihusudu nachukia ushirikina hauna faida kwangu zaidi ni uharibifu tuuu...by the way..AISIFUYE MVUA...