Ni wakalimu sana kiukweli lakini enzi zile ilikuwa unaweza kutambulishwa makaka mia kidogo mpaka unachanganyikiwa lakini mambo yamebadilika siku hizi. Swali ulikuwa unawauliza hao wanawake kwa mantiki ipi au unataka kukamata toto la kinyakyusa?
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
na ushirikina huwa wanaomoto.... Kupiga nondo...... Kuchuna ngozi...... Biashara...... Uchakarikaji...... Utajiri
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
proud kyusa hata msemeje,na hakuna madem wanajiheshimu na kuchakarika tz km kyusa.kaoe mchaga au mrangi ujute kuzaliwa
wa kiume watamu sana!
moto.... Kupiga nondo...... Kuchuna ngozi...... Biashara...... Uchakarikaji...... Utajiri
nimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi
proud kyusa hata msemeje,na hakuna madem wanajiheshimu na kuchakarika tz km kyusa.kaoe mchaga au mrangi ujute kuzaliwa