Mbunge wa Iringa, Mheshimiwa Chogga, enzi za Nyerere, aliwahi kusema kwamba China, kwa sababu ya uhusiano wake na Tanzania wakati ule, inafikiri kupeleka wanawake nchini Tanzania (aliwahi kusema milioni 20) na akafukuzwa kutoka Bunge and ubunge wake ukanyakuliwa.
Leo hii kuna habari kwamba mwaka 1973, Kiongozi ws China wakati ule, Mao Ze Dong aliwahi kumwambia Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Henry Kissinger, na kupendekeza kupeleka wanawake wa kichina milioni 10 huko Marekani. Soma:
http://news.bbc.co.uk/2/hi/asia-pacific/7243500.stm
Sasa, tuseme Chogga aliwahi kupata siri fulani kutoka mawaziri wa serikali ya awamu hiyo?