Wanawake wa kichina nchini Tanzania

pitapita

Member
Feb 9, 2008
22
15
Mbunge wa Iringa, Mheshimiwa Chogga, enzi za Nyerere, aliwahi kusema kwamba China, kwa sababu ya uhusiano wake na Tanzania wakati ule, inafikiri kupeleka wanawake nchini Tanzania (aliwahi kusema milioni 20) na akafukuzwa kutoka Bunge and ubunge wake ukanyakuliwa.

Leo hii kuna habari kwamba mwaka 1973, Kiongozi ws China wakati ule, Mao Ze Dong aliwahi kumwambia Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Henry Kissinger, na kupendekeza kupeleka wanawake wa kichina milioni 10 huko Marekani. Soma:
http://news.bbc.co.uk/2/hi/asia-pacific/7243500.stm

Sasa, tuseme Chogga aliwahi kupata siri fulani kutoka mawaziri wa serikali ya awamu hiyo?
 
Kumbuka Chogga aliyasema hayo mwaka 1968 nadhani. Lakini it is interesting kuwa wakubwa walikubaliana kuyaondoa kwenye rekodi lakini rekodi zikabaki.
BTW Hivi Chogga aliishia wapi? Whatever happened to him?
 
Wanawake million 20???!....duuh, kwa jinsi miaka ilivyopita hivi sasa hapa jamboforums, wengi wetu tungelikuwa tunaongea kichina tuu.... maana mama wa members wengi hapa wangeliwafundisha wanao lugha ya kule walikotoka... :)

.... huchelewi kukuta Mwanakijiji angelikuwa halfcaste fulani hivi ambaye mamake angeliweza kabisa kuwa Mchina... lol

.... hebu fikiria, unafungua podomatic au KLHNews unakutana na maongezi ya Ki-Mandarin....duuuh!!!

..... huyo Invisible naye angeliweza kuwa 'invisible wa kichina'

..... dr. Slaa wa kichina (ooh, hapana huyu mkubwa mno kwa umri)

..... Lowassa wa Kichina (ooh, hapana huyu naye mkubwa mno kwa umri)

..... Zitto wa kichina

..... Field Marshal ES wa kichina,

..... Nyani Ngabu wa Kichina

..... Icadon wa kichina

ha ha ha ha...
 
Back
Top Bottom