Wanawake wa Kenya ndio maana hupiga wenza wao si kwa miguvu hii!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,673
Screenshot_2019-10-30-10-33-42.png
 
Sidhani kama inahusika na nguvu za wanawake wa Kenya bali ni udhaifu wa wanaume wa Kenya. Wamama jabali kama hao hata kule Nyamungo na Ngoreme tunao, lakini hawajawa na huo uthubutu wa kumtia mume kichapo kama kina Njokii.

Wanaume wa Kenya wana umama mwingi
CC: MK254
 
Back
Top Bottom