Wanawake wa kabila gani ni wataalamu ktk mapenzi

jus kidding... I mean siku hizi mapenzi hayaangalii kabila bwana.. Mtu tu na ujuzi wako na ujanja wako

si kweli kuna baadhi ya makabila huwafundisha watoto wao toka wakiwa wadogo jinsi ya kubehave katika mapenzi hasa kwa waume zao...mfano wadigo,wamakonde pia wanamfunzo kama ya jisi hyo...so usime mtoto aliyefundishwa misingi ya mahusiano awe sawa na yule asiyefundishwa sio kweli
 
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.
Wachagga, so hot and commited on the issue!
Wachagga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! kina mae mpoooooooooooooooo?
 
si kweli kuna baadhi ya makabila huwafundisha watoto wao toka wakiwa wadogo jinsi ya kubehave katika mapenzi hasa kwa waume zao...mfano wadigo,wamakonde pia wanamfunzo kama ya jisi hyo...so usime mtoto aliyefundishwa misingi ya mahusiano awe sawa na yule asiyefundishwa sio kweli

Hiyo ilikuwa zamani,siku hizi mtoto anakwambia yeye ni mdigo kwa vile tu baba yake mdigo ila kakulia Komakoma na likizo kwa bibi ni Ukonga,alipokuwa alifunzwa kujistiri tu na usafi,alipo poswa akatafutiwa somo wa kumfunda mmama wa kizaramu; mama,mashangazi na bibi wote busy na sare na zawadi wakafanye kufuru ukumbini siku ya Kitchen party!
Unategemea kukuta skills za kidigo kwa bint wa namna hii? Unaweza ukazikuta kwa bint wa kipare aliyefundwa na mdigo!!!
Mjini hapa!
 
wanawake wawakinga na wabena ndyo mwisho wa reli!

Hapo umedanganya, unaposema wanawake wa ....... unamana wana wake wa kikinga na kibena? kama ndilo unamaanisha nakataa, wangoni mwisho wa yote hasa wandendeule
 
Wote wanaongoza, jaribu kiila kabila halafu lete feedback. Usisahau kuvaa viatu vya ronaldo/ messi
 
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.

Njoo nyumbani kwa WA MANYEMA hutoki lazma utangaze ndoa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom