Wanawake wa JF kujazana MMU kunanipa maswali mengi

Ushaambiwa mapenzi yanarun dunia...

Waache wakae huku maana huko siasani mtawavuruga tu...

Maana huko siasani kumejaa umbea kuliko MMU... Kutwa nzima mijitu mizima inawajadili Wema Sepetu, Makonda, Masogange, mama Wema as if wamekosa la maana la kujadili...

Kutwa kucha mijamaa inatukanana... Bavicha UVCCM, Lumumba Ufipa, Nyumbu Panya... watu wanatukanana JF wakati wanasiasa wenyewe wanakula bata tu. Wenzenu wanapiga vijembe bungeni, jioni wanakutana bar wananunuliana bia na nyama choma.

Waache wamama wabaki MMU, huko siasani ni full mapovu... na wajinga ndio waliwao.
Mwambie huyo
 
We ulijuaje tumejazana na kutwa kushinda mmu kama hatushindi wote? Au nawe mwanamke mwenzetu!!
Mpendwa nimeona hapo kwenye "yana jazana" ikabidi nijiulize hivi kumbe siku hizi mmekuwa maembe!?

Eti mpendwa nyie ni mananasi?
 
4ef8b3d15a1bc223f66f670b60bae85a.gif

Ooouuhhh WAT DID I MIC.?
 
Mnataka wanaume mbaki wenyewe kujadili mapenzi humu??? Inaleta picha gani hapo?
Tunaleta balance mkuu! Lazima tuwepo humu
 
Mnataka wanaume mbaki wenyewe kujadili mapenzi humu??? Inaleta picha gani hapo?
Tunaleta balance mkuu! Lazima tuwepo humu
Sidhani kama hata umeielewa mada husika, hebu soma tena

BTW kwenye hiyo avatar yako hapo ni wewe?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kule kwenye ufugaji ujasiriamali hawataki wao ni MMU tu shikamooni ma goal kipa wote mliomo huku ......kukosa kwako akili kinachoumia sehem yako ya......
 
kule kwenye ufugaji ujasiriamali hawataki wao ni MMU tu shikamooni ma goal kipa wote mliomo huku ......kukosa kwako akili kinachoumia sehem yako ya......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom