Wanawake wa Humu kwann Hamuoelewi??

kenny trump

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2019
Messages
492
Points
500

kenny trump

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2019
492 500
Mabahariaaaaa wenzangu aiseee hivi kwanini hawa dada zetu siku hizi hawaolewi wanakwama wap?
Unakuta bintI mzuri kabisa bado yupo tu kwa wazazi yaani nashangaa sana,
Na nyie wa humu mmeolewa kwel??
 
Bin Shaib

Senior Member
Joined
Aug 1, 2019
Messages
192
Points
225

Bin Shaib

Senior Member
Joined Aug 1, 2019
192 225
Mabahariaaaaa wenzangu aiseee hivi kwanini hawa dada zetu siku hizi hawaolewi wanakwama wap?
Unakuta bintI mzuri kabisa bado yupo tu kwa wazazi yaani nashangaa sana,
Na nyie wa humu mmeolewa kwel??
Sababu ipo wazi kabisa, mabinti wanajiona wazuri hata unapo watongoza wanaringaa sana sababu ya uzuri wao na kinasababisha sisi kutowajari tena, mabaharia mpo?
 
Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
6,004
Points
2,000

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
6,004 2,000
Too general Lakin ngoja tucomment hivyo hivyo.

Sababu wanawataka akina Romeo hasa hao unaowaona ni wazuri, halafu kwa bahati mbaya hao akina Romeo wenyewe hawana mpango wa kuwaoa zaidi ya kuwapiga na kuwaachia watoto tu, kisha mwisho wa siku wanaingia kwenye lile kundi linalojiita "strong women by faulty.
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
2,632
Points
2,000

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
2,632 2,000
Huwezi kuwa na akili timamu kuoa mwanamke wa jamiiforums. Wanawake walioko huku ni wale ambao asilimia 95 wameachika,wameshindikana,wanagawanywa na wanaume humu ndani.wanakuja kutafuta faraja. Tuulize sisi ambao tumekuwa tunajiokotea mademu humu.😁😁😁😁😁

Mwanamke decent huwezi mpata humu hata siku moja. Anatafuta nini? Ukimpata kwa bahati angalia threads zake.huwezi mkuta yupo MMU.

Mabahariaaaaa wenzangu aiseee hivi kwanini hawa dada zetu siku hizi hawaolewi wanakwama wap?
Unakuta bintI mzuri kabisa bado yupo tu kwa wazazi yaani nashangaa sana,
Na nyie wa humu mmeolewa kwel??
 
Forum statistics

Threads 1,352,749
Members 518,191
Posts 33,066,705
Top