Wanawake wa huku mnavunja ndoa za watu sana! Acheni hii tabia yenu ya ushauri potofu

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,361
Likes
18,918
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,361 18,918 280
Leo naamua kuwambia ukweli ,,na nitaongea bila kupapasa macho !!!.
Awali ya yote kwanza naomba mtambue MWANAMKE nikumbe anayeathiriwa sana na Mazingira kwakusikia ,kuona ,kunusa nahii huwapelekea wajikute wanataman kujaribu kusema au kufanya kile walichokiona au kuambiwa.

DHUMUNI LANGU HAPA NIHILI.

Wanawake Wa JF kila kukicha hamuishi vituko kwakutoa Post za kijinga jinga nahata kutoa komenti zakijinga jinga pia ...
Imefikia wakati kila siku nikuzungumzia Uume Mara uume mrefu ndo rahaa Mara uume mfupi ndo raha ..imefikia wakat mtu anadai Kaolewa lkn sasa amepata chaguo lake kisa tu anatafunwa kisawa sawa ....imefikia mahali mtu anatoa ushauri kwawenzake eti * ukiona hakutafuni sawa piga chini * , wengine mnaenda mbali mpaka kufikia hatua yakusema Kazini umepata kajamaa kanakutafuna balaaa ... Wengine mmeishia kudai wanaume Wa aina hiii wana uume mkubwa ooohhh wanapiga sana mashine ....yaaan kwaufupi imekua tafurani juuu ya tafuraniiii.

SASA NAWAULIZA !!!

mnajua kwakiasi gani Meseji zenu mnazoweka hapa JF zimeleta athar kwa familia fulani ??????? Mmesababisha migogoro ndani yafamilia za watu..
Mmekua washauri wakinafiki na wabaya ,matokeo yake Mwanamke wawatu kaolewa ila kisa mwanamke nmwepesi kubadilika ,nasababu amesoma *Fulani* kasema hivi ,,ngoja nijaribu nione km nikweli..namwisho wake umekua mbaya mbaya mbayaaaaa.
Leo hiii mmekua sababu za wanawake wengine kutamani kuchepuka ,,mmefanya wanawake wadharau ndoa zao nawenzi wao et tuu kwamaumbile yao ....mmefanya wanaume waanze kuwaogopa wanawake wao nawakat fulan hats wanaume wameanza kujishitukia kabisaaa ,,wamejawa nahofu ( mwanamme anawaza je ye nitim hogo au bamia ?) Hiii imepelekea kupungua kwaufanisi wao sababu yahofu walozijenga.
Yaaan kwaufupi Wanawake Wa JF mmekua waharibifu sanaaa yaaan mmekua waharibifu misili ya Chavi chav anaposhambulia mazao.

MAOMBI YANGU KWENU...

jamani badiliken,, badiliken kabisaaa ,,Jaribuni kuja namambo yenye faida nayenye mtazamo chanya...Peanen njia za kutatua cjangamoto zandoa zenu nasio njia zakuleta matatizo.
Peaneni njia za kuepukana na gasia mnazopata makazini namahali popote nje ya nyumba yako nasio kupeana Assist juuu ya kuchepuka nakupata raha nje ya ndoa.
Jaman ,,tunawalipia maali ,hatulipiii K tu Bali tinalipia mawazo yako mazuri, ushauri ,faraja ,,usaidizi ,furaha n.k.
Tambueni kua mnatufanya sisi ambao hatujaoa tuishie kuzalisha TUUU nakukaa nawanetu basi...

Badilikeni bana ,,acheni kua marafiki wabaya,, kama weee ulifukuzwa sababu ya tabia zako chafu ,acha kujifanya unawashauri wenzako kufanya ujinga ili mchekane.
Km weee unafurahia maisha yakwako pekeee yako ,basi yawe yakoooo acha kushawishi nawenzako watoke ndoani kwao kisa kukaa pekee yako KUNA Uhuru.
Kama hujaolewa naumri unakwenda acha kuwaaminisha wenzako kua Siku izi hakuna waoaji .
Umeolewa lkn huridhiki ,,acha kuwafanya wenzako wahisi pia hawaridhishwi.
Umewahi kukojoleshwa kaaa kimya ,,acha kufanya mwenzako kujiuliza maswali kama ameshawah kukojoa au lahhh.( sio wanawake wote wanaokojoa au kutolewa mimaji sioooooo).

Nihayo tuuu
6785263605caad55e5810094fcdc2353.jpg
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,361
Likes
18,918
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,361 18,918 280
Duuh hivi mada zoote humu za hayo mambo ni wanawake tu ndio wanaoongelea?
Sasa kwaakili ya kawaida ,,unategemea mwanamme anayejielewa akae azungumzie uume wake ????

Sisi wanaume tulizaliwa tukiwa tayar tunajiamini kwajinsi tulivyo.
 
Letrisha

Letrisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
379
Likes
795
Points
180
Letrisha

Letrisha

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
379 795 180
Sasa kwaakili ya kawaida ,,unategemea mwanamme anayejielewa akae azungumzie uume wake ????

Sisi wanaume tulizaliwa tukiwa tayar tunajiamini kwajinsi tulivyo.
Haya ngoja waje wanaoongelea
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,361
Likes
18,918
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,361 18,918 280
Yote hayo yanaletwa na wanaume kutwa kutuongelea kwa mabaya. Tuvumiliane tu.
Sawa ujue hii kwetu haina madhara.....ila naona nyinyi kwanyinyi ndo mnapotezana nakujazana ujinga.

Mimi nmekuoa ,,ulete habar oohhh huniridhishi ,,nakuacha uende uko ukapate anayekuridhisha

Lakin sio kuridhishwa namwanamme mwingine alafu upo ndani mwangu neverrrrr ....hapo dini yangu imenambia ,, mwanamke muache kwazamb ya uzinzi.
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,361
Likes
18,918
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,361 18,918 280
Sasa hivyo vi-emoji vya kucheka hadi unalia vya nini hapo?

Asprin leo zamu yako kunisomea
Aahhh maana yangu nikwamba ,,kuna wakati nacheka ujinga wamtu mpaka machozi yananitoka .....sounajua ironically !!!.
 

Forum statistics

Threads 1,238,902
Members 476,226
Posts 29,336,217