Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,002
- 173,641
No wanawake zetu wapenziNinyi mbona partners wenu mnawachukulia kama housegirls tu? Hivi mbona wanaume kwenu mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu aisee mkoje ninyi viumbe?
No wanawake zetu wapenziNinyi mbona partners wenu mnawachukulia kama housegirls tu? Hivi mbona wanaume kwenu mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu aisee mkoje ninyi viumbe?
Acha hizo tu mtu wanguShindwa huko
Unabisha kabisaaa?Haya "we jamaa"!We jamaa idofi hakuna hao wtu hebu acha mzaha , wabena wanaheshima but sio hivo, hyo sio heshima Bali ni kunyimana uhuru
Chief habari, nakuomba PM
Unaijua sanga mwalugesha?Sanga mwalugesha karibu na gamboshi
Labda Malawi ndiyo hizo tabia bado zipo
Ndiyo,mke wangu ni Mfipa ana heshima sana, Mwanzo nilimkataza kuzidisha heshima kwa watu wasio stahili, heshima kubwa anipe mimi mumewe tu labda na wakwe zake.Hawa ni watanzania kabisa au?...
Ni kweli kabisaKuna la kujifunza
Hapana mkuu napasikia tu nilipenda jinaUnaijua sanga mwalugesha?
Napajua idofiUnabisha kabisaaa?Haya "we jamaa"!
Kosa kwa mashemejo wameshindwa kusimama kiumeHayo yamefanyika ila mashemeji wanalialia tu.Nacheeekaaa!
Watu wanashindwa kuelewa .. kitu cha kwanza ni Respect (heshima) kisha upendo/mapenzi ndio hufuata..Usomi wa kijinga siku hizi una haribu wanawake...
Mbona Chinese,Indians, Korean n.k wanasoma na still wanaishi kwenye mila zao...
Imagine mwanamke amesoma Sheria na ameajiriwa akifika nyumbani anakupigia goti...
Mwanamke ni askari akija kwako anakupigia goti na heshima kama zote, hapo ni ngumu sana ndoa kuvunjika..
Moja ya nguzo imara katika ndoa ni kumheshimu mwanaume... Tusijiulize sana kwa nini wazazi wetu wali last longer kwenye ndoa zao...
Hapa kuna vidada vitakuja kunipinga eti ni mfumo dume... Mtakaa sana benchi🤣🤣🤣, ukimheshimu mwanaume na bado anakuzingua huyo shoga kimbia...🤣🤣🤣
Naja mkuuChief habari, nakuomba PM
Hahahah, umenikumbusha symbian S60, Nokia yangu 7650Mzee hao ni Symbian version zao hazipo tena, tunao hawa wa Android