Wanawake wa Dar na mapenzi according to money level

Mfalme Daudi

Senior Member
Dec 23, 2011
110
245
Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE

NB:KAMA HUNA HELA,WANAWAKE WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
 
Mi huwa napenda tu niitwe jina langu! Hayo ya bebi, kwani mi mtoto? Na ndevu zote hizi! Khaaa!
 
Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE

NB:KAMA HUNA HELA,WANAWAKE WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI

good research_ingawa vijana watakwambia uweke picha
 
hahahaha ila unajua one has to see the positive in everything...yaani unatakiwa kuwa kama arsene wenger..yeye ata akifungwa 6-3 au aongoze 4-0 alafu watu wazirudishe he will always see the positive.
sasa wewe wanawake kutanguliza pesa ichukulie kama wao wamejidharau na kujiuza so wewe unaweza watumia utakavyo. if they cant value themselves y should u value them...wagegede na wape makaratasi wanayo yatamani
 
hahaahahah kwanza hii avatar yako nzuri sana......haya back to topic...wewe gfriend wako anakuitaje? (sorry kama umeshaoa)....
Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE

NB:KAMA HUNA HELA,WANAWAKE WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom