Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe
Check out @UpendoPeneza’s Tweet:
SWISSME
Hafikishi kura 2 yule. Wakati wanawake wanajisikia amani kujiita makamanda,CCM wanajiona aibu kupita na magunya mitaaniIkitokea uchaguzi leo utakaosimamiwa bila mapolisi,jiwe anaweza kupata kura ya bashite tu!!
Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe
Check out @UpendoPeneza’s Tweet:
SWISSME
Wanauwa wapinza.jiwe Alisha Sema hayo
SWISSME
Si kweli hata kidogo, unaijua katiba kweli?
Hali hiyo ipo maeneo yote mpk SERIKALI na vyombo vyake.upinzani bado upo. Tofauti ni kwamba wame change tactics .. mtu anaweza kuwa mpinzani ila usimjue. So wana operate chini chini.
Kufa hauwez kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wa kilevi....kwani alivyokataza mikutano ya kisiasa kwenye katiba haipo?Utetez wako kwa mvunja katiba ni wa kipofu!!Si kweli hata kidogo, unaijua katiba kweli?
Lakini Chadema haijadhulumu wananchi pesa za korosho!!Kuwa chadema ni kama mtu kuwa mchawi, ambao unakuwa ni imani na siri ya mwenye nao moyoni mwake, nilichogundua wapenzi wa chadema ni wengi tu ila upenzi wao upo mioyoni mwao, , huwezi kuutambua