Wanawake wa Bongo acheni kushobokea Waarabu

lakin kweli watu weupe madem wanashobokea sn ili apige bakora mtaani yupo na rangi ingine.
Rangi nyeupe inapendwa sana hata wanawake weupe wanajiona wako bora na wanapendwa zaidi ukitaka kujua angalia tu matangazo ya biashara mengi yanatumia watu wenye rangi ya kung’aa wale wenzangu na mie cheusi mangala mvuto sio sana
 
Na kuna ujinga tulipandikiziwa wametuweza waafrika tunaamini weupe ndo uzuri na ubora nachukia zaidi mtu akisema "sipendi uswahili" tunajua waswahili ni watu wa hovyo au kusema "mzungu wa roho" tumeaminishwa wazungu ni watu wema sana
 
Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa .

Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
Kuna uhusiano mkubwa Kati ya rangi ya ngozi na ukwasi, au umaskini,
 
Hivi machimbo ya wanawake wa kiaravu huwa ikowapi hapo dar

Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa.

Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
i
 
Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa.

Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
Waarabu ndio wenye hela sheikh,
Vituo vya mafuta,biashara za magari,nyingi zinamirikiwa na waarabu,sasa hskufate wewe una nini?
Paki vogue sport,watakuja tu
 
Wanawake wa bongo wanapenda 0713...
Waarabu na 0713...ndio samaki na maji

Sisi wanaume bongo tonaona 0713... ni kinyaa ndio maana tukipata game na mwanawake wa kibongo tukiwa chumbani na umemkunja anajifanya kasahau ndipo anachukua muhogo anaukwepesha njia ili uzame kwe 0713...

Baada ya kugundua mchezo huo utakuwa mkali kama mbogo aliyekoswa risasi hapo utaurudisha faster muhogo kwenye njia sahii
 
Hata dada zao wa kiarabu wanatupenda watu weusi. Kilwa94 nishachakata waarabu wawili mbaka saivi.Huyu mmoja kaniomba nifunge naye ndoa(Kaja toka Oman hivi karibuni) ila mimi nafsi yangu haitaki kabisa..wake wa kiarabu hawana joto kama la wake wa kihaya.
Siwez kumuacha bint wa mwanalumango kisa nikuoe bint wa kiarabu kuna vitu nitakosa
 
Hivi umeshawahi kusikia kuna vipodozi vya kukusaidia kuwa mweusi? ngozi ikitakata utasikia naona mambo mazuri ila weusi ukizidi tu mhh jamaa kaungua utasema katoka kwenye gunia la mkaa naona mambo sio mazuri kachoka mweusiiiiii. Dada katakata ngozi nyeupeeee. Yule kaka ndio anapesa? mbona kaungua vile.... haka simtaki nisije kuzaa toto jeusiiiii.
 
Back
Top Bottom