Wanawake wa Afrika wanapelekwa India kwa ajili ya ngono

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi.

Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda India.

Chanzo: BBC
 
BBC eye for Africa (BBC jicho la afrika) limebaini wanawake wengi wa afrika mashariki kuathirika na kuizwa passports zao huko wakiwemo watanzania wenzetu .

Miji mingi ya India imefulika wanawake kutoka kenye,Tanzania, Rwanda na Burundi wanaopelekwa kwa kufanya kazi ya ukahaba na kuteswa hadi kuuwawa huku wengine wakipotea bila kujulikana ,mwanamke mmoja wa Kenya amezungumza BBC na kueleza kuomba msaada kwa serial za afrika mashariki kushuglikia jambo hili

Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania inaombwa kuliangazia jambo hili kwa jicho la karibu


State agent
Screenshot_2019-12-16-10-51-49.jpeg
Screenshot_2019-12-16-10-49-09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom