Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

Hii ni nchi ya maajabu......yaani polisi wote hao wanakomaa na mwanafunzi mmoja wa kike asiyekuwa na silaha yeyote wakati wale twiga wetu walikuwa wanapandishwa kiulaiiiini ndani ya dege la Qatar lakini hakukuwa na mwanausalama wa taifa hata mmoja.
Hao mbwa(polisi) ipo siku yao!
 
IGP huyu tuliye naye hawezi kuwachukulia hatua yoyote maana vijana wengi wa polisi ni watoto wawashikakaji wa serikalil ya kishkaji.Jeshi la polisi limekosa maadili na weledi kabisa.Hata wamachinga wa Mbeya wamelithibitisha hilo baada ya kuwazidi nguvu pamoja na kuongezewa nguvu na FFU Iringa,Swanga,JKT na TPDF.Hii ni aibu kwa taifa hili na ufisadi wa chama cha magambaaaaaaaaaaaaazzzzzz.
 
Polisi wanamiza shida zao za kimwili kazini serikali imetutekeza sasa inatumia dola kututisha Na kutudhilisha viongozi wetu ukiwapa challenge tu unakutana Na polisi hata Kama una hoja ya msingi watasema wee ni siasa zinakusimbua . Wanataka wananchi wawapende Na kuwapa ushirikiano bila wao ku deliver . Ili la Huyu dada wabunge wanawake ni challenge kwenu tunataka kuona mnaishikia serikali bango Na hao polisi wafukuzwe kazi
 
Hawa watu wanaojiita manjagu wanapokuja kutukliza ghasia kwenye vyuo wanakuja kwa malengo mengi ndiyo maana wapo shapu wanapoambiwa kuja .Kwanza kupora simu,kuokota pochi zinazoanguka na lingine kama hili tunaloliona kwenye picha kwani utafiti unaonyesha jeshi la police wanaongoza kwa umalaya ndiyo maana ndoa zao wengi zina migogoro we ona hapo mibaba mizima na ndevu zao sehemu zote imemeacha kazi iliyowapeleka yote inamfuata dada mmoja lengo lao nini na ingekuwa giza hapo tunajuwa wangemfanya hata kitu kibaya lo shemu on you Mkuu wa police ebu angalia jeshi lako lilivyooza limekaa kifuska fuska tu hamana lolote eti tunaenda kutuliza fujo shame on you hamana hata aibu wengine mnajidhalilisha kwa wake na madadazenu ,mama zenu nja mwifi zenu.I said again shame on you.
 
Hivi hakuna sheria zinazowalinda watu (esp. wanawake) dhidi ya udhalilishaji kama huu wa polisi? Mtu anapaswa kuwa treated kama siyo mhalifu mpaka pale anapohukumiwa kuwa ana hatia ndo anapaswa kuwa treated kama mhalifu. Hatuna sheria zinazoweza kutumiwa na watu kama hawa dhidi ya udhalilishaji wa polisi? Polisi kama huyu anapaswa kufunguliwa mashitaka ya udhalilishaji kwa kumshika kiuni/makalio huyo binti bila ridhaa yake.
 
Na hizo nguo za bure zinazowapa umasikini bila kujuwa maana wengine from morning to evening wamevaa hizo wanachukuwa pikipiki wanaenda kutafuta sh 500 za kula watoto hayo siyo maisha aisee tafuteni dili zingine maana navyowaona maisha yenu lazima yawe magumu tu.Wakati nasoma mwalimu wangu wa psychologia aliniambia police in Iron boy anafanya kazi kwa kutumia nguvu nyingi akili kidogo na mara nyingi wanaingia watu ambao wavivu wa kufikiri sasa naamini nyinyi mnafanana na robot kabisa no thinking at all
 
sasa nimeanza kuelewa kwanini Ghadafi aliingizwa kijiti.
Pata picha huyo ni dadako, utaacha kujifunga mabomu kweli?
 
Hii ni nchi ya maajabu......yaani polisi wote hao wanakomaa na mwanafunzi mmoja wa kike asiyekuwa na silaha yeyote wakati wale twiga wetu walikuwa wanapandishwa kiulaiiiini ndani ya dege la Qatar lakini hakukuwa na mwanausalama wa taifa hata mmoja.
Hao mbwa(polisi) ipo siku yao!
Walikuwepo ila walikuwa wanachekelea tu ka zuzu!
 
Am so sad kwamba MODs wameiona hii hoja just like a picture na kuinyima jukwaa lenye watu wengi ili watu waweze kupa ujumbe na kuijadili kwa undani, sina maana ili jukwaa ni hovyo lakini ukweli unabaki pale pale ya kwamba ni dogo, na mimi nimeweka picha kuweka msisitezo ningeweza kuongea maneno matupu
 
Wadau kweli wanaharakati wa haki za Wanawake walifanyie kazi hili. Huu ni udahalilishaji mkubwa sana.
 
Tatizo la hawa watu wa usalama wamezoea kutumia unreasonable 4c kila mahali, sasa hapo anajikuta anavunja haki za binadamu pengine hata kwa kutojua
 
Tatizo la hawa watu wa usalama wamezoea kutumia unreasonable 4c kila mahali, sasa hapo anajikuta anavunja haki za binadamu pengine hata kwa kutojua

hii yote ni kwa sababu hakuna sheria inayolinda ajira zao wakigoma unafukuzwa kama nzi au kupakaziwa kesi
pia wengi wao wamepata kazi kwa deal, kama tuporekebisha malipo na mazingira ya kazi ili kila kazi ifanye na watu wa weledi mbalimbali kuna kazi zitabaki za kitumwa na kutumika kama hii ya polisi, lakini pia sheria za nchi hazifanyi kazi kabisa kama kila mtu angekuwa anawajibika na uozo wake tusingekuwa na hali kama hii
 
Alama kubwa ya selikari mfu ni matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili. Polisi tisa na kila mmoja ana silaha... Dada hana silaha... Ni ajabu. Nchi inatumia silaha zake kushambulia na hata kuuwa wananchi wake. Si ajabu PAYE za baba wa huyo msichana ndo zimetumika kununua silaha hizo... SHAME
 
Hii ni nchi ya maajabu......yaani polisi wote hao wanakomaa na mwanafunzi mmoja wa kike asiyekuwa na silaha yeyote wakati wale twiga wetu walikuwa wanapandishwa kiulaiiiini ndani ya dege la Qatar lakini hakukuwa na mwanausalama wa taifa hata mmoja.
Hao mbwa(polisi) ipo siku yao!

polisi ya tz ni sawa na mijibwa koko unayokula hata vinyesi jalalani...
 
IGP ni Mume wa dada yake kikwete anafanya kazi ya familia kawekwa Hapo kuinda shemeji Yake
Kwa idadi ya watoto wa mama tofauti, lazima awe na mama wakwe wengi, mashemeji wengi, baba wakwe wengi...etc... Hivyo basi uwezekano wa kuwa na selikari ya kifamilia ni mkubwa... Sishangai hata wizara ya maliasili ilikuwa ya kifamilia...kwa ukubwa wa familia akina Seya wapo kupango
 
To me hayo yalikuwa maandalizi ya kumbaka!
Uyu dada afungue kesi tuu na ushaidi anao!
 
Back
Top Bottom