Wanawake, ukitaka kujijua wewe ni mchafu, jiangalie hizi tabia unazo

Ni kweli tu. Ila ninachochukia zaidi hapo ni soap dish na ndoo ya chooni kugina. Asee nikija kwako hata Kama nimebanwa na mkojo vipi. Ninaweza kuomba nisafishe ndoo kwanza. Ndio niende wash room.
Umeongea ya kweli tu.

Na kuondoka kwangu sijatandika kitanda.
Yesu. Sijui niwe ngojwa nawahiswa hospital ndo nishindwe
 
Amegusa angle chache ila ukweli kashasema
Umechukulia mambo kijumla jumla sana kwahapa umelizungumzia tabaka dogo sana la wanawake wanaoishi maisha fulani ya kumiliki jiko,choo,dressing table nk. vipi kuhusu wengineo wanaoshi nje ya maisha hayo? Thread yako haina uhalisia kwa maisha ya kawaida ya watanzania waliowengi.
 
Ni kweli ila nadhani kila mtu anajipima kwa kile kinachomhusu, kama huna dressing table una kabati, huna kabati walau una kitanda na sufuria
 
Ni kweli tu. Ila ninachochukia zaidi hapo ni soap dish na ndoo ya chooni kugina. Asee nikija kwako hata Kama nimebanwa na mkojo vipi. Ninaweza kuomba nisafishe ndoo kwanza. Ndio niende wash room.
Umeongea ya kweli tu.

Na kuondoka kwangu sijatandika kitanda.
Yesu. Sijui niwe ngojwa nawahiswa hospital ndo nishindwe
kweli kbsa nilisahau hilo,ndoo za bafuni kugina plus vile vikombe vya kujimwagia navyo hali si hali
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom