Nimejaribu kubadilika ila wapi, naweza nikatumia masaa 2 kupanga nguo kabatini ila nikavuruga zote ndani ya dakika moja.ukibadilika unambie nije kuhakikisha kama ni kweli..niundE tume
hamna mwanamke asie na choo kwao hata kama ni public ila unakitumia wewe kila siku..ni CHOO CHAKO HICHO,hamna mwanamke asiemiliki jiko kwake/kwao na pia hamna mwanamke asie na dressing table sio lazima iwe kama hyo unayoifikiria anaweza akawa anaweka vikorombwezo vyake hata juu ya BEGI au hata Ndani..Hamna mtu anaeishi nnje ya maisha haya.Umechukulia mambo kijumla jumla sana kwahapa umelizungumzia tabaka dogo sana la wanawake wanaoishi maisha fulani ya kumiliki jiko,choo,dressing table nk. vipi kuhusu wengineo wanaoshi nje ya maisha hayo? Thread yako haina uhalisia kwa maisha ya kawaida ya watanzania waliowengi.
acha nikuweke ktk maombiNimejaribu kubadilika ila wapi, naweza nikatumia masaa 2 kupanga nguo kabatini ila nikavuruga zote ndani ya dakika moja.
Hata kama nilishaandaa nguo ya kuvaa nikaiweka pembeni asubuhi lazima mabadiliko yafanyike.
hamna mwanamke asie na choo kwao hata kama ni public ila unakitumia wewe kila siku..ni CHOO CHAKO HICHO,hamna mwanamke asiemiliki jiko kwake/kwao na pia hamna mwanamke asie na dressing table sio lazima iwe kama hyo unayoifikiria anaweza akawa anaweka vikorombwezo vyake hata juu ya BEGI au hata Ndani..Hamna mtu anaeishi nnje ya maisha haya.
aki hatuchekaniNimejaribu kubadilika ila wapi, naweza nikatumia masaa 2 kupanga nguo kabatini ila nikavuruga zote ndani ya dakika moja.
Hata kama nilishaandaa nguo ya kuvaa nikaiweka pembeni asubuhi lazima mabadiliko yafanyike.