Wanawake Uganda waambiwa wakome kuvaa Miniskert | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Uganda waambiwa wakome kuvaa Miniskert

Discussion in 'International Forum' started by NgomaNzito, Sep 19, 2008.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waambiwa wanawaletea wanaume mfadhaiko

  Uganda seeking miniskirt ban


  [​IMG] The minister said wearing a miniskirt was akin to going naked


  Uganda's ethics and integrity minister says miniskirts should be banned - because women wearing them distract drivers and cause traffic accidents.
  Nsaba Buturo told journalists in Kampala that wearing a miniskirt was like walking naked in the streets.
  "What's wrong with a miniskirt? You can cause an accident because some of our people are weak mentally," he said.
  The BBC's Joshua Mmali in Kampala, the capital, said journalists found the minister's comments extremely funny.
  Wearing a miniskirt should be regarded as "indecent", which would be punishable under Ugandan law, Mr Buturo said.
  And he railed against the dangers facing those inadvertently distracted by short skirts.
  "If you find a naked person you begin to concentrate on the make-up of that person and yet you are driving," he said.
  "These days you hardly know who is a mother from a daughter, they are all naked."
  Vice list
  According to the minister, indecent dressing is just one of many vices facing Ugandan society.
  "Theft and embezzlement of public funds, sub-standard service delivery, greed, infidelity, prostitution, homosexuality [and] sectarianism..." he said.
  Earlier this year, Kampala's Makerere University decided to impose a dress code for women at the institution, our reporter says.
  The miniskirt and tight trousers ban has yet to be implemented, but our correspondent sought the opinions of women on campus about the minister's opinions.
  "If one wants to wear a miniskirt, it's ok. If another wants to put on a long skirt, then that's ok," one woman said. But others had more sympathy with Mr Buturo. "I think skimpy things are not good. We are keeping the dignity of Africa as ladies and we have to cover ourselves up," one woman, called Sharon, told the BBC.
   
 2. S

  Stone Town Senior Member

  #2
  Sep 19, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalamu alaykum.

  Naomba na hata pia ingepigwa marufuku maana sasa hivi sisi wanawake tumevuka mipaka zaidi hatujui kuchagua nguo ya kuvaa shughulini wala kazini wala disco almuradi tunaangalia nguo inayokupendeza utokea nayo hata kama asubuhi utavaa nguo ya kwendea kwneye disco yaani nguo ya usiku.

  na hivi nakumbuka hata juzi nimesikiliza radio maria ikizungumzia waumini wake wanaokwenda kanisani junsi nguo wanazovaa ambazo zinaponguza nidhamu kwa waumini na kukivunjia hadhi chombo hicho cha ibada.
  stonetowner
   
 3. D

  Darwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwenye manyege yakipuuzi hata akiona mwanamke mwenye baibui minyege inapanda.

  Nataka kujua pia ni wanaume wangapi walipata ajali kwa ajili ya kuangalia wanawake wanaovaa mini.
   
 4. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii nayo ingekuwa ni sheria kwetu Wa-Tanzania
   
 5. S

  Stone Town Senior Member

  #5
  Sep 20, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalamu Alaykum.

  Sawa mtu kama ana hamu maana sipendi kutumia neno alilotumia ndugu yangu kwamba hata mtu kama anavaa bui bui au kujifunika ataangaliwa na mwanamme mwenye hiyo ... hamu lakini tukumbuke kwamba huyo mwenye bui bui au mwenye kuvaa nguo za stara hata kama ana shepu yake nzuri na ya kuvutia lakini akiwa amejisitiri kunakuwa na upungufu mdogo wa kuangaliwa sana tofauti na mtu mwenye kujiweka wazi sana.

  yaani nakusudia kusema hapa kwamba uwezekano ya kuangaliwa unakuwa mkubwa iwapo utakuwa umevaa nusu uchi kuliko mtu amabye amevaa labda kujisitiri zaidi mwili wake.

  ingawa tunafahamu kuwa hata mwanamme akiwa amevaa suruali ya kawaida na shati na akivaa pensi na fulana isiyo na mikono mtazamo wake mwele ya wengine unakuwa mwengine kabisa.

  kwa maana hiyo pamoja na tabia za kupenda kuangalia na kujitia matamanio yasiokuwa na sababu kutokana na mavazi lakini yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na mavazi ya wanawake.

  kwa sababu mwanamke aliyekuwa amevaa na kujifunika mwili wake wote uwezekano wa kungaliwa sana unakuwa mdogo kuliko aliyevaa nusu uchi yeye huyu kushinikizwa kwa macho hadi vichochoroni na pengine kupigiwa firimbi za kuitwa itwa.
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi binafsi sikubaliani na huyo waziri yeye na wenye fikra kama hizo wanamatatizo mini skirts na jeans za kubana zinawapendeza sana kina dada na mimi hua simtokei demu mpaka nimuone akiwaa na moja ya vazi hizi na zinavomkaa.
   
 7. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hahahaaaa, kwa hiyo wewe unaunga mkono ufuska?
  Ni vyema uoe kama bado ujaoa. Kama umeoa ni vyema utulie ndani ya ndoa yako. Kumbuka kuna HIV/UKIMWI.
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  labda bado yupo yupo sana tu ha ha ha!
   
  Last edited by a moderator: Sep 25, 2008
 9. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2008
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh...hii ni kulinda african culture au ni kuwanyima haki ya mavazi hawa women?
   
 10. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Teh its soo funny ni wazi kuwa waafrika mawazo yetu yapo katika that thing between our legs only!
   
 11. Tuya

  Tuya JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 30, 2008
  Messages: 313
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii mbona kunakipindi bongo walizusha akionekana women kavaa miniskt anachaniwa nakupigwa wakasema pia atakua anapelekwa police sijui iliishia wapi na wamama wenyewe wa bongo sikuhizi walivyochoka watu siwatakua wanakung'utana.

  Kwaniii wale watoto wenye umri mdogo wanaobakwa wanakua wamevaa mini? wanaocheat wote wanakua wameona miniskit? Nguo sio sababu ingawaje mwanamke unapaswa kujiheshimu nakusitiri mwili wako watu huwa tunajisahau nakutupa tamaduni zetu za kiafrica tunaiga uzungu.
   
 12. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Na wewe una kale kaugonjwa kama kangu ka kupenda vipisto na usafiri nini??? Teh!teh! tehhhhh!!!!
   
 13. Capitol Hill

  Capitol Hill JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2008
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 733
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  People its all mental..mbona huku U.S. especially wakati wa Summer tunapishana na watoto wa kike wamevaa vitu vya ajabu (very provacative) na hakuna anayepata mfadhaiko?
  Kama akili yako iko idle na the only thing you think ni ngono..sure hata mtu akivaa baibui you would still have those thoughts. Wanaume wangapi wanageuka nyuma kuangalia makalio ya wavaa baibui baada ya kupishana nao?
  Its all up there...in the brain.
   
Loading...