Wanawake Ufaransa wakwepa uvaaji wa G-strings...je kwa wanawake wetu TZ hili likoje?

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Kwa wanawake wetu tz wenye kufatilia maswala ya fashion kwenye uvaaji wa lingerie watakuwa wamepata hii habari kuwa kule ufaransa wanawake wenzao wanakwepa uvaaji wa G-strings na hata madukani mwao hizi chupi zenye mvuto kwa wanaume hazionekani na takwimu zinaonyesha kuwa kwenye miaka ya 1990s G-string ndo ilikuwa lingerie number moja kwa French women lakini hii kitu sasa imekufa.
Leo hii kule ufaransa ni mwanamke mmoja tu kati ya wanne anavaa G-string wakati wanawake wafaransa ndio wanaongoza duniani kwa matumizi kwenye lingerie hili likiwa anguko la asilimia kutoka 30 ya mwaka 2008.Pia ni mwanamke 1 tu kati ya 5 anaeona kuwa uvaaji wa G-string ni fashion kule ufaransa ..na pia ni 1 kati ya 10 anaeona kuwa uvaaji wa G-string ni practical....... wengi wakilalamika kuwa hizi chupi zina vutika juu na kuharibu shepu ya makalio yao huku wengine wakipendelea boxer ambazo zinawafanya wawe more comfortable na pia hazionyeshi mistari ya chupi na kuwafanya wawe na mvuto zaidi........
Haya yakiwa maoni ya wanawake wengi ufaransa.....ningependa maoni ya madada zetu wa TZ juu ya hili kwani kule ufaransa( na hata asia) hizi G-string zinaondolewa hata kwenye women fashion magazines.......pamoja na ukweli kuwa G-string ni moja kati ya kivutio kikubwa cha kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke...........

Source:Cookies must be enabled | The Australian

 
ngoja waje hapa, waseme!
Kama vp mpango mzima ni bila c.h.u.p.i.......kitu kupata full kipupwe, bureee!
 
Wengine hatuelewi hayo ma***pi cjui ya G-string hebu tueleweshen maana hatujui hata mnazungumzia nn
 
Back
Top Bottom