Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

Bora kama unafanya ivyo unamtu permanent ambaye munaongea lugha moja,ila ukijikuta umefika 35+,utajikuta umekuwa mama huruma kwakutaka ndoa
 
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Sasa uweke vizuri kuwa isipokuwa mume wako ndio anakuheshim. Ofcoz sio wote wasioheshim ila vizuri ufunike na utunze mwili wako hadi uolewe...
 
kweli kabisa bora ununue toy kama huwezi kuvumilia mwanaume hana utu. yaani nilishaweka nukta kitambo sit*mbwi tena afe kipa afe beki
Miss natafuta wengine tunaheshim bana usiseme ivo. Temea mate chini kha. Utakuja athirika kisaikolojia... Njoo nikupe ushauri..
 
Ushauri wako ni upi?? Wakae tu!! ?? Maana siku hizi vijana mipango ya kuoa hawana kabisa.
 
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
nyie fuateni huo uushauri muulizeni mwenzenu ana imri ganinaona anaimarisha chama cha wasioolewa TZ ,msichana ambaye hapaswi kumvulia nguo mwanaume ni yule aliye bikra tu,ila wengine ni lazima uvue maana kuna wengine wana mabwawa hasa ukijidai eti hadi siku ya fungate utaishia kumlaumu Mola,wengine wameshahribiwa hadi nyuma hvy wakaachika ndio wakaamua kutulia,mkitaka tusiwaonje basi mrudishe bikra zenu over and out
 
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.

Punguzeni kutusumbua na kutuzungusha tunapoonyesha nia ya kuwataka maana ukizingua Sana mwisho ukakubali naona Yan hiki ndo alikuwa nananizungushia mda wote huo..pia hamuishi kwa uhalisia wengi wenu ni maigizo tu mnataka mtu awa handle utafikiri mko peponi mnasahau tuko duniani na kuna mambo mengi sna ya kutufanya tusiwatendee mnavyotaka mda wote
 
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Thamani ya mwanaume ni pale kabla hujamwoa mwanamke ukishamwoa tuu thamani ya mwanaume imekwisha anaenda kwa maex wake period.
 
NYIE VAENI NGUO HATA BEGI ZIMA, ILA TAMBUA WE NI MWANA MKE TU!, BILA MWANAUME WE UTAENDELEA KUBAKI NA MAVAZI YAKO HIVYO HIVYO, Ndoa nikitu kikubwa sana,, NYIE WANAWAKE HAMUWEZI MJUWA MWANAUME HATA UNGEKUWA MSOMI VIPI!!" NDIO MAANA MUNGU ALI WAKABIDHI KWETU MAANA NINYI NI DHAIFU SANA, HUWEZI NA HAITO WEZEKANA UKAMPIMA MWANAUME KW KUMPA PENZI AU KUMNYIMA PENZ,, MWENYEZI MUNGU AMEWAKABIDHI KWETU TUWA MILIKI ,, NA PIA MUNGU ALIJUWA WAZI KWAMBA NINYI NI MASHETANI NA NDIO MAANA AKAWAOMBA WENGI ILI MSITUBABAISHE JUU YA TENDO LA NGONO,,FAHAM WE UKIRINGA WENZIO WANATAFUTA NAFASI HIO, KWA HIO FAHAM MWANAUME HATAKAMA ZEZETA VIPI HAWEZI TOA SIRI YAUWANAUME WAKE, ZAIDI HAPO UTADANGANYWA TU, NA MZIGO UTATOWA, AIDHA KAMA SIO KWANGU LAKINI NI KWA MWANAUME MWENZANGU, KAMA UTAKUWA NA AKILI UNGEKUMBUKA WEWE NI KIATU HUWEZI KUWA MGUU"
Wahuni waliokutenda sio watu wazuri kabisa kwakweli ila katundu kale kana maajabu yake, tumuulize samson na Mr Adam
 
h
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Nilichojifunza kwako kutokana na uzoefu wangu ni kwamba wewe ni mzuri kimuonekano but sio Fundi kitandani yaani huna ujuzi, ndiyo sababu wanahangaika sana kukupata rakini wakiisha kuonja wanakukuta huna radha ile waliyodhani unayo ukilinganisha na muonekano wako ndiyo maana hawakuthamini tena. Wanaume wanvutiwa na muonekano awali lakini wanaamini utakuwa mtamu kama unavyooneka au zaidi, sasa wakikuta mambo ni tofauti wanakimbia, huu ndiyo ukweli Dada yangu.
Nilishawahi kudeti demu mmoja hivi, mtoto ni mkali balaa, nilipishana nae barabarani ye yupo kwa mguu, anatembea kama twiga, hana haraka, mrembo, hips, makalio, utulivu wa uso kila kitu mungu kampa, nikamsotea miezi mitatu, siku moja akakubali kunipa papuchi, sikuamini. Kwanza alikuwa wa baridi, not emotional, yaani hakuwa mtamu wala mjuzi, dada yangu nilivumilia kama mara saba hivi nikapotea. Baada ya muda nikamuona yupo na mshikaji wangu fulani baadaye nae kakimbia, tena nikamuona na mwingine ambae namfahamu pia ( mji tunaokaa sio mkubwa) hakukaa nae. Hapa shida sio wanaume ni wewe.
 
NYIE VAENI NGUO HATA BEGI ZIMA, ILA TAMBUA WE NI MWANA MKE TU!, BILA MWANAUME WE UTAENDELEA KUBAKI NA MAVAZI YAKO HIVYO HIVYO, Ndoa nikitu kikubwa sana,, NYIE WANAWAKE HAMUWEZI MJUWA MWANAUME HATA UNGEKUWA MSOMI VIPI!!" NDIO MAANA MUNGU ALI WAKABIDHI KWETU MAANA NINYI NI DHAIFU SANA, HUWEZI NA HAITO WEZEKANA UKAMPIMA MWANAUME KW KUMPA PENZI AU KUMNYIMA PENZ,, MWENYEZI MUNGU AMEWAKABIDHI KWETU TUWA MILIKI ,, NA PIA MUNGU ALIJUWA WAZI KWAMBA NINYI NI MASHETANI NA NDIO MAANA AKAWAOMBA WENGI ILI MSITUBABAISHE JUU YA TENDO LA NGONO,,FAHAM WE UKIRINGA WENZIO WANATAFUTA NAFASI HIO, KWA HIO FAHAM MWANAUME HATAKAMA ZEZETA VIPI HAWEZI TOA SIRI YAUWANAUME WAKE, ZAIDI HAPO UTADANGANYWA TU, NA MZIGO UTATOWA, AIDHA KAMA SIO KWANGU LAKINI NI KWA MWANAUME MWENZANGU, KAMA UTAKUWA NA AKILI UNGEKUMBUKA WEWE NI KIATU HUWEZI KUWA MGUU"
Bro nenda kasome uwe prof
Au nenda bongo movie uwe unatoa movies
 
Back
Top Bottom