Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Hapo nimekuelewa miss,, lakini kwa maona yangu naona kama hio njia yenu ni risk sana kuna wanaume ambao hawawezi kuelewa mnachokimaanisha (kama mimi mmoja wapo) so huoni unaweza kumkosa mtu hivihivi na angali kweli anakupenda

Swali la nyongeza nadhan lipo nje ya maada kidogo

Hivi mwanaume anapokutongoza unamkubalia (tufanye unamfahamu toka awali wakati hajakutongoza) then unamkubalia je ina maana na wewe ulikua unampenda toka zamani au?
Na kama mwanaume anakutongoza (hapa tufanye haumfahamu toka awali yani mmekutana tu somewhere labda MC au beach) then ukamkubali ina maana unakua umempenda toka siku uliyomuona au vp

Kifupi namaanisha je unamkubali mwanaume aliyekutongoza kwa kumpenda ghafla tu pindi anapokutongoza au unakua ulishampenda toka zamani?
Akishanitongoza, kwa namna ambavo ata elezea hisia zake unajikuta unaanza kumpenda.
 
Inawezekana kabisa kumuweka friendzone 100%mfano hai ni mimi mwenyewe kuna kaka nilikuwa nafanya nae kazi offisi moja na akanitaka lakini sikuvutiwa nae nikamkataa akanichunia kama miez 3.

Lakini nikaja kufiwa na mama lakini yeye ndio aliekuwa wa kwanza kunicall na kunipa pole na ndio akawa mfariji wangu akawa karibu zaidi hata ya mwanzo kwangu anakuja na tunapika tunakula akiwa na shda namsadia na mimi nikiwa na shida ananisaidia pia.

Na hakuwahi kuzungumzia tena maswala ya kunitaka mpaka akaja akapata msichana na akamleta kwangu kunitambulisha na mpaka leo navyosema ni marafiki wakubwa wa kwenye shida na raha na nina mtoto mmoja wa miaka 4 anampenda balaa sometimes anamchukua kwenda kushinda nae kwake siku nzima.

Wakigombana na demu wake mie ndo msuluhishaji na demu wake kanizoea balaa utazani ni kwamba mie na yule kaka ni ndugu wa tumbo moja kwa hiyo mi naamini inawezekana kumfanya mtu kuwa friend zote kama akikubaliana na hali halisi kuwa hamuwezi kuwa wapenzi.na tuna miaka 3 ndani ya urafiki wetu.
Subili utaliwa soon
 
Women demanding a friendship to a men while at the same time she is in need of some service in return is like Modern Women to men Neo colonialism exploitation to Men’s generations,

why not offering Pussy in return of those services girls ?

Nywele zangu zinaniwasha naomba laki nikasafishe na kusuka zingine baby , mzee mzima naitwa baby kisa nina ngawira, bullshit !!
 
Yes, Nilikuwa na strong feelings na mwanaume mmoja but he was not a relationship material. He was a womanizer and he was really cheap kuomba omba vitu vitu hata tukipanda daladala anategemea mimi nilipe and he wouldn't even buy me a single handkerchief. Loser!

Actually I couldn't be his friend after that. I had to throw the whole man away because I never be friends with any straight man, and worked out in the end. I don't even entertain the idea.
Sorry, sometimes you have to avoid strong feelings.Things changes, people changes.If someone loves you more and you love him enjoy your relationship by that time knowing someday there'll be miss understanding between y'all.
 
Back
Top Bottom