Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,565
- Thread starter
- #561
Na wewe si utakuwa umepata girlfriend Nosspassni ngumu sana....siku akikwambia leo na-meet na my BF........puli inachukua mkondo......
Na wewe si utakuwa umepata girlfriend Nosspassni ngumu sana....siku akikwambia leo na-meet na my BF........puli inachukua mkondo......
Kwanini urafiki ulikufa?I remember back in the days I had three of them. They kept me in friend zone but in the end I fucked them all. And friendship ended there!
Huu mrejesho ni muhimu sana.Naskia mtu mzima habakwi ..nitambaka lakini technically itakuwa sijambaka. Muhim nikupata ile friction ya back and forth kama mara tatu tu ya nne mwenyewe anatoa ushirikiano.
Zinamkandamiza sana mwanamke.The so called "tamaduni za kiafrika"!
Mmh haya.Kama una dini huo ndo ukweli
Mwanaume anakuwa bora na anabaki juu ukilinganisha na mwanamke
Ila kama hauna dini mwanamke na mwanaume ni sawa.
Kwa maana hiyo unaogopa kubakwa?Hua najua kitu hiko ni mpaka wote mkubaliane na kuridhia isitumike nguvu
Akishanitongoza, kwa namna ambavo ata elezea hisia zake unajikuta unaanza kumpenda.Hapo nimekuelewa miss,, lakini kwa maona yangu naona kama hio njia yenu ni risk sana kuna wanaume ambao hawawezi kuelewa mnachokimaanisha (kama mimi mmoja wapo) so huoni unaweza kumkosa mtu hivihivi na angali kweli anakupenda
Swali la nyongeza nadhan lipo nje ya maada kidogo
Hivi mwanaume anapokutongoza unamkubalia (tufanye unamfahamu toka awali wakati hajakutongoza) then unamkubalia je ina maana na wewe ulikua unampenda toka zamani au?
Na kama mwanaume anakutongoza (hapa tufanye haumfahamu toka awali yani mmekutana tu somewhere labda MC au beach) then ukamkubali ina maana unakua umempenda toka siku uliyomuona au vp
Kifupi namaanisha je unamkubali mwanaume aliyekutongoza kwa kumpenda ghafla tu pindi anapokutongoza au unakua ulishampenda toka zamani?
You made my daysiwezi nina wivu na tamaa
Mkusanyiko wa watu wanaoshahibiana kwenye mambo mbalimbali.Jamii ni nani?
Umeshinda.Paula ndio maana wakawepo wachonga mizinga na wala asali.
Hivi hujawahi kujiuliza kwanini makampiuni yanapo tangaza nafasi za kazi wanataka watu wenye uzoefu? na sio fresh from school?
Ulijaribu ikakuletea madhara usy?huku ujinga unaitwa friendzone sifanye tena
Tulifanya kwasabab tulikua close sana as you opposites charge attract each other
Kwa maana hiyo unaogopa kubakwa?
Subili utaliwa soonInawezekana kabisa kumuweka friendzone 100%mfano hai ni mimi mwenyewe kuna kaka nilikuwa nafanya nae kazi offisi moja na akanitaka lakini sikuvutiwa nae nikamkataa akanichunia kama miez 3.
Lakini nikaja kufiwa na mama lakini yeye ndio aliekuwa wa kwanza kunicall na kunipa pole na ndio akawa mfariji wangu akawa karibu zaidi hata ya mwanzo kwangu anakuja na tunapika tunakula akiwa na shda namsadia na mimi nikiwa na shida ananisaidia pia.
Na hakuwahi kuzungumzia tena maswala ya kunitaka mpaka akaja akapata msichana na akamleta kwangu kunitambulisha na mpaka leo navyosema ni marafiki wakubwa wa kwenye shida na raha na nina mtoto mmoja wa miaka 4 anampenda balaa sometimes anamchukua kwenda kushinda nae kwake siku nzima.
Wakigombana na demu wake mie ndo msuluhishaji na demu wake kanizoea balaa utazani ni kwamba mie na yule kaka ni ndugu wa tumbo moja kwa hiyo mi naamini inawezekana kumfanya mtu kuwa friend zote kama akikubaliana na hali halisi kuwa hamuwezi kuwa wapenzi.na tuna miaka 3 ndani ya urafiki wetu.
And you already friend zoned couple times by another guy, what goes around comes back around...OMG, I am about to friend zone someone right now subiri mrejesho.
Tayari ana courage,ila ladies wana some kind of problemUnatakiwa kuwa na courage
Sorry, sometimes you have to avoid strong feelings.Things changes, people changes.If someone loves you more and you love him enjoy your relationship by that time knowing someday there'll be miss understanding between y'all.Yes, Nilikuwa na strong feelings na mwanaume mmoja but he was not a relationship material. He was a womanizer and he was really cheap kuomba omba vitu vitu hata tukipanda daladala anategemea mimi nilipe and he wouldn't even buy me a single handkerchief. Loser!
Actually I couldn't be his friend after that. I had to throw the whole man away because I never be friends with any straight man, and worked out in the end. I don't even entertain the idea.

That's kinda privacy conversation,nendeni mkamalizane DM ili myajenge vizuri.Utafanyaje kuonyesha unanipenda?