Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Paula Paul

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
4,649
13,559
Hi guys,

Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao wameshaonesha hisia za kimapenzi kwetu lakini hatujavutiwa nao kama wapenzi.

Mbali na kuwakataa kama wapenzi tunaona they are obligated to keep being our friends na ikitokea tofauti basi unakuta tunaanza kulalamika “Fulani mbona siku hizi haunipigii, umenigaya siku hizi n.k”

Nimewahi kuambiwa kwamba mwanaume anayemweka mwanamke kwenye friendzone anaweza kuwa gay, sasa wanaume wakaamua kuja na "zone" yao ambayo ni fuckzone. Mwanaume ukiwa na hisia naye za kimapenzi na kama hakupendi yeye hakuweki friendzone (ni makosa) bali anakutupia kwenye fuckzone au anakuacha kabisa.

Akikuweka kwenye fuckzone kila mkikutana ni sex tuu lakini hakupendi na hataki ubaki kwake kama rafiki yake tu. Huwa inauma sana pale unampenda mwanaume lakini yeye anakuona kama fucking material, na sio mtu anayeweza kuwa na mahusiano na wewe.

Je, ulishawahi kumweka mtu kwenye frienzone licha ya kuonesha hisia zake za kimapenzi juu yako? Ipi ilikuwa sababu ya kutaka au kumfanya awe rafiki yako na sio mpenzi wako?

Je, ulishawahi kuwekwa kwenye friendzone na mwanamke au mwanaume unayempenda? Ulijisikiaje? Je, ulikubali kuwa kwenye friendzone au uliamua kumfuta kabisa kwenye maisha yako?

Vipi ulisha-fuckzone na mtu yoyote, ulijisikiaje ulipogundua kwamba hakuwa anakupenda? Na wewe kwanini uliamua kumweka kwenye fuckzone na siyo kumkubali kama mpenzi wako? Ipi ni mbaya kati ya friendzone na fuckzone?

Yangu hii, I met this guy licha ya kunionesha hisia zake juu yangu niliamua kumwomba awe rafiki yangu, he walked away with no further word, kwa kweli sikutamani kumpoteza nilitamani abaki kwenye maisha yangu, nikawa nampigia namtext hapokei wala hajibu until he told me he just couldn’t be around me because it was too painful. Nikajifunza kama simpendi mtu haina haja ya kumtaka awe rafiki yangu.

Karibuni.
 
As a Man, I have a hard time trying to be friend with a girl I am sexually attracted to. Wakati huko namwona eti yupo na mwanaume mwingine na mimi nacheka tu?.

Kuna huyo mmoja aliniweka friendzone nikaachana naye. Kasikia nimeoa akaanza wivu na kujidai kaumia. Alidhani I would stay single and parsue her forever. Sasa hivi nimeoa na nimemweka kwenye fuckzone maana ndipo anapostahili.
 
It's really painful but mimi huwa inakuwaga friends with benefit lazima ipo siku utabenefit tu mkiwa alone. Hisia zitawatawala na kama kuna influence ya Alcohol ndio baaaaaasi

najaribugi sana kujizuia but they keep coming kwa kigezo cha advise, story na hata movies sababu mimi napenda sana Movies, Tukisha kwich kwichi the next day sura ya mbuzi kauzu as if yesterday it ddnt happen shit.
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom