Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Mimi kulikua na kaka nilikua nampenda sanaa alaf yeye alikua ananiona kama mdogo wke tu :) alikua ni family friend. Basi akikutana na mimi anaongea kama anaongea na mtoto wa miaka 5 vile, kipindi iko nilikua na miaka 18. Hadi jina langu akiniita anaita kitoto. Kuna the way jina langu watoto wanatamka basi na yeye akawa anatumia style hiyo hiyo kama vile mimi mtoto. Hata maongezi yke tuki chat ni vile vile ananichukulia kama kitoto kidogo. Ikabidi nikubali matokeo nikawa naenda nae kama anavotaka 😁 Kitu cha ajabu baada ya miaka miwili akaja kunitongoza nikampotezea. Toka nimpotezee ata nikimtumia message leo anajibu kesho, kipindi kile alivokua ananiona kama mdogo wake alikua anajibu haraka haraka alaf anachat kama anachat na kitoto kidogo. Sijui upendo ule kwa huyu kaka uliishaje. Sasa ivi namuona kawaida sana. Kipindi kile nilivokua namuundia scenarios kichwani kwangu asa ivi nikikumbuka nacheka tu 😂
Alikua anakulia timing sema hukujua tuu 😅😅😅😅
 
hii kitu inauma sana, kuna dem niliwahi kuwa nae kimapenz ila sikuwai kumchakata ata siku moja na alikuwa mzuri kinoma na tulipendana sana, day moja tukakorofishana kitu kidogo tu, Dah nilimuomba msamaha almost miaka miwili ila dem anachomoa msamaha anaforce ufriend zone, niliforce sana in romantic way lakin wapi.

baada ya miaka kama mitano nilikuwa kwenye biznes zangu town mara tukakutana tena jiji ameshaanza kujitegemea,
akanikaribisha ghetto kwake tukalala ila akanambia yupo kwenye hedhi akavaa kabisa Pedi,

tulichezeana sana mixa kupandishana nyege, akabaki na suruali juu kavua kifua wazi, ila swala la ata nichukue dushe nililambishe kwenye uhondo aligoma katakata, hatukulala ad alfajir ndio tukalala kidogo tu kisha nikasepa, aisee nilijiona mim ni mjinga sana nalibembeleza jitu ambalo linaforce ufriendzone. sitomsahau uyu mrembo ila saiz ameanza kuchoka maziwa yameshalala, sura yake nzuri imepoteza mvuto. ile ngozi soft sio soft tena dah. nilimpenda sana uyu mamiloo na sijui kwanin amenigomea miaka yote kunipa papuchi.
 
Maybe alikuona wewe ni fala
 
Hataki kukuamvukiza UKIMWI.

Sijui ata nawaza nn
 
Tunawafriend-zone sababu mnakuja na gia ya urafiki badala ya kufunguka moja kwa moja.
Tukifunguka haraka haraka napo mnasema " yan ndio kuniona ndio kunitongoza mtu ata unijui vizuri sikujui vizuri ebu nije mda kwanza tufahamiane vizuri"
 
Ukweli wakati nakua in my 20's sikuwahi kuruhusu mwanamke aniweke Friend-Zone and use me for validation hata siku moja. Tukitongozana tukakataana au kuachana ndiyo mwisho wetu hapo, kila mtu anakula zake.
Safi sana huo ndio uanaume sasa. Ni ujinga kwa mwanaume kupelekeshwa hovyohovyo na hisia zake.
 
Back
Top Bottom