Wanawake tujifunze kazi za mikono-changamoto kwa wadada wa leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

zanzsco

Senior Member
Aug 21, 2011
161
45
NIMEAMKA NA HII TOPIC KWASABABU NILIKUWA NAIWAZA JANA USIKU NA NAOMBA NIWASHIRIKISHE UZOEFU WANGU..... MMEAMKAJE WANA MMU?????????????

Bila kupoteza mda turejee kwa kichwa cha habari hapo juu, kuna mama mmoja ni jirani yetu maskani, sio siri ni mfano wa kuigwa kwani ni pillar ya familia kwani mmewe alistaafu wakati watoto ni wadogo sana baada ya haya kutokea na kupata kiinua mgongo kwa serikali alijenga nyumba ambayo wanaishi sasa na vyumba vya wapangaji na frame moja ya biashara.

Mkewe ni msusi mzuri na alianza kujifunza mda mfupi baada yaa kustaaf mumewe na akawa anasukia kibarazani bila saloon, ndani ya miaka kadhaa kama 5 yule mama akafungua saloon yake mtaji wake kwani mumewe full dependant.....
Kidogo kidogo ameanza kufuga kuku wa nyama na anauza balaa saloon ndo kama kachukua kitaa kwani ni msusi kweli...........
Sasa hivi ada ya watoto inatoka hapo + kodi za nyumba na wako chuo nafikiri mwaelewa ada na maisha ya chuo na anawasomesha private walikosa mkopo isipokuwa 1 alipata 60%.

MWENDA BURE SI MKAA BURE HUENDA AKAOKOTA.......
MSIWAKIMBIE WAUME WENU WHEN THINGS GETS ROUGH, IT IS THE TIME TO HOLD ONTO EACH OTHER AND ENDURE THE HARDSHIP BCOZ IT Z A TEMPORARY SITUATION!!!!!!!!!!!!!

BETTER IS NOT GOOD ENOUGH THE BEST IS YET TO COME....
ALWAYS BELIEVE THERE IS A BRIGHTER FUTURE AHEAD............... TAKE A STEP OF FAITH AND GET UP, THERE A WINDOW OPENED FOR YOU EVEN IF, ITS SEEMS ALL DOORS ARE CLOSED!!!!!!!

LOVE YOU ALL AND HAVE A BLESSED DAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thread yako ina mafunzo mazuri sana. Ni vyema kuvumiliana na pia kujishughulisha bila kukataa tamaa badala ya kukimbiana, kutelekezana au kunyanyasana wakati wa mapito ya ugumu wa maisha. Naomba niamini kuwa huyu mumewe angalau anamsaidia mkewe kwenye hayo mabanda ya kuku, japo kusafisha na kuuza mayai kama si kuku wa nyama!
 
wao wanajua kubonyeza galaxy,kumupika muchuzi ya mindimu mingi na chapat zilizomungua mume hali hayo anawenda chef's pride
mi hapana taka iyo
mwanamuke lazima mushughulike
 
sio yeye tu even the kids wakiwa likizo!!!!!
 
wao wanajua kubonyeza galaxy,kumupika muchuzi ya mindimu mingi na chapat zilizomungua mume hali hayo anawenda chef's pride
mi hapana taka iyo
mwanamuke lazima mushughulike

If every being plays his/her role well, the world is a better place to live in before it ends!!!!
 
Tatizo ni kuwa wengi hawafahamu kama kwa kila mja kuna msalaba ambao kapewa na mwenyezi Mungu mfano aliye na mtoto tahira,chizi,mlemavu,jambazi n.k,mme malaya,mlevi ama mke mvivu,mwasherati n.k

Yote hiyo ni misalaba ama sehemu ya majaribu ambayo kama mwanadamu huna budi kuikubari,kuikimbia ama kuitelekeza ni dhambi kwa Mungu kwani kupitia humo ndo rehema zinavyotujia.

Wengine ndo yy pekee aliye na uwezo ndugu wote wanakutegemea,wengine watoto shule haipandi ama kila wakisoma wanaishia njiani,wengine ni mahanisi n.k yako mengi ila ni muhimu tu kutambua hicho ndo kipimo chako hapa duniani

..dada ubarikiwe kwa ujumbe wako.
 
asante Rweye! Ubarikiwe nawe pia
 
Hehe..kazi ya mkono niijuayo ni upishi, itabidi nifikirie habari ya mamantilie labda na mimi siku moja nitakuwa mmliki wa restaurant.

Nimeipenda
 
Hahahaaaaaaaaaa! Mi sijui nimelogwa mwenzenu na alieniloga kafa na keshaoza!!!!!!!!!! Sijui nitaponea wapi mimi hili janga!!!!! Yaani bila mwanaume kunihudumia na kunipa mbesa hata niwe na mabillion naona kama ananitumia tumia na kutake advantage of me flani hivi? Yaani i am addicted to guys cash jamani! Bila pesa huniambii kitu! Halooooooooo! Japo dobi nae mkali wa kupiga pasi ila namba Arsenal hapati! Inahuuuuuuuuu?
 
Pesa za bure su kuhongwa zina raha yake
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom