Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..