Wanawake tuambiene ukweli...

shee leo

Senior Member
Dec 12, 2011
105
22
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..
 
Wengi hizi elimu wanazopata zinawapa jeuri sana

kila nikiwatazama wazazi wetu wanavyoheshimiana sipati picha kama tutawapata wakina mama wa aina hii tunakokwenda
 
ngoja niingie kitchen party kama mtaalam.
Enyi wanawake hakikisheni mnapofanya mapenzi na waume zenu, wapeni na wao mimba wazilee, mkisha weza hiyo wadaini pia waende mwezini kila mwezi na watoe maziwa kwenye nyonyo ili walishe watoto.
Kisha pitisheni haki sawa kwa kila kitu.
Tena hamuhitaji kuwezeshwa hata kubadili k zenu ziwe m.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Nona bado mleta mada anabase kwenye theory za radical feminist (hawa waklibase kwenye wid), kwa sasa debate za kijinsia zinatambua tofauti hizo (hasa tofauti za kibiolojia japo sio za kibiblia) kwamba we will never be equal but tunachoweza kuhangaikia ni equity, kwamba atleast wanawake na wanaume wote wawe considered kwa kiwango flani kwenye fursa za maendeleo, na lingine ni kuupinga unyanyasaji which is not bad.
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..

Kwa sentensi moja tu isiyo na maneno mengi unataka wanawake tufanyaje?
 
Na kujumu la mwanaume lingine ni kumpenda mke wake

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haya mambo ya haki sawa nawaachia kina TGNP, TAMWA, TAWLA na wengine wa namna hyo. Wewe kama huipendi ndoa/mahusiano yako basi leta hizi habari za haki sawa lol. Na ukicheki asilimia kubwa ya wanawake waliojikita kwenye maishu ya gender huwa hawana familia za kueleweka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..
Aliyeandika bible ni mtu kama wewe lakini huyu mtu Ali claim anauwezo wa roho takatifu(who knows he may be like Osama bin laden ) we are just followers .Hitler aliwafanya watu wauliwe na oxygen chambers,watu wanaimplant mabomu wakiwa na imani wataenda mbinguni.Kama huyo mama lwakatare ni mchungaji lakini anakufanya usafishe pesa bank baada ya Muda anaita waandishi wa habari ananyumba ya kifahari.Na binadamu wanaubongo tofauti some are psychopath,serial killer,molesters,alcoholic.Sijawahi kusikia tanzania mtu anatibiwa kwa depression ,addiction .wanaume ni head of house hold period
 
Wengi hizi elimu wanazopata zinawapa jeuri sana

kila nikiwatazama wazazi wetu wanavyoheshimiana sipati picha kama tutawapata wakina mama wa aina hii tunakokwenda

Marriage ni institution ambayo unaingia humo bila kulazimishwa.Na unaweza kutoka ukitaka sasa wanawake Wengi wakibongo they love abusive men cause they are insecure
 
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango wa MUNGU HAUKUWA KUMUUMBA MWANAMKE ila tu kwa upweke wa mwanaume akafikiria atamsaidiaje?akaona AMUWEKEE MWANAMKE{akasisitiza kuwa awe msaidizi wa mwanaume}PILI:akamwambia mwanaume atakuwa kichwa TATU:atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hvyo mwanaume atabaki kuwa mtafutaji wa familia na mwanamke kaz zake ni kusaidia .Ila mabadiliko ya dunia ndio yametufanya tusiwe wasaidizi bali tumekuwa tunasaidiwa na hao wanaume..HII SIO MBAYA HATA KIDOGO tatzo sasa wanawake tunajisahau nafasi zetu na kutaka kuwa na mamlaka makubwa juu ya wanaume hao ambao walipewa nafasi hzo,tumetaka wanaume wawe wasaidizi wetu kitu ambacho si kweli....WANAWAKE TUSIJISAHAU ILA TU TUPIGANIE KUONDOA UNYANYASAJI km kupigwa,kutukanwa,kushurutishwa n.k.tuishi tukijua kuwa mwanaume siku zote yupo Dunia hii kabla yetu hvyo hilo tu limetufanya kuwa nafasi ya pili..Hata MUNGU mwanae wa pekee ni YESU{wakristo} au Nabii ISSA{waislamu}ambaye ni mwanaume na aliamua kumtuma duniani huyo huyo mwanaume..hvyo kwa sababu hizo MWANAUME AMEPEWA MAMLAKA YA JUU ZAIDI na imeandikwa ENYI WANAWAKE WATIINI WANAUME ZETU na si MWANAUME AMTII MWANAMKE..
walete walete waje wajue si lazima vitu hivi viingizwe kwenye carriculum zetu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom