Wanawake tu someni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake tu someni hapa

Discussion in 'JF Doctor' started by aloveragel, Oct 3, 2012.

 1. aloveragel

  aloveragel Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]FIBROIDS NI NINI?[/FONT]

  l [FONT=&quot]Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa[/FONT]

  [FONT=&quot]mwanamke.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi[/FONT]
  [FONT=&quot]hazimaanishi kuwa ni kansa.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Zinatengenezwa na kambakamba zilizofungamana (muscle[/FONT]
  [FONT=&quot]fibre)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Fibroids huanza kwa ukubwa kama wa njegere, lakini huweza[/FONT]
  [FONT=&quot]kukua kwa ukubwa wa tikiti maji.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Inakadiriwa kwamba asilimia kati ya 20-50% ya wanawake[/FONT]
  [FONT=&quot]wana hili tatizo au watakuwa na hili tatizo katika kipindi Fulani[/FONT]
  [FONT=&quot]cha maisha yao.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Fibroids hupatikana zaidi kwa wanawake wenye umri kati ya[/FONT]
  [FONT=&quot]miaka 30-40 na hupungua ukubwa mara baada ya umri wa utu[/FONT]
  [FONT=&quot]uzima.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Uchunguzi uliofanyika huko marekani unaonyesha kwamba[/FONT]
  [FONT=&quot]Fibroids huwapata wanawake wa kiafrika mara tisa zaidi ya[/FONT]
  [FONT=&quot]wanawake wa kizungu.[/FONT]
  [FONT=&quot]Nini kinachosababisha Fibroids?[/FONT]
  l [FONT=&quot]Ingawa sababu/chanzo hasa cha Fibroids hakijulikani, utafiti[/FONT]
  [FONT=&quot]unaonyesha kwamba fibroids huchochewa na oestrogen mwilini.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Mara nyingi fibroids hukua kwa mwanamke pale ambapo[/FONT]
  [FONT=&quot]kiwango cha oestrogen kimeongezeka mwilini, na pia fibroids[/FONT]
  [FONT=&quot]hupungua pale ambapo kiwango cha oestrogen nacho[/FONT]
  [FONT=&quot]kikipungua.[/FONT]
  [FONT=&quot]Oestrojen ni nini?[/FONT]
  l [FONT=&quot]Ni mkusanyiko wa homoni ambazo ndizo zinazoukuza mwili wa[/FONT]
  [FONT=&quot]mwanamke kijinsia, mfano ukuaji wa viungo kama matiti na kupata[/FONT]
  [FONT=&quot]hedhi.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Pia,wanawake ambao wana uzito zaidi ya kg.70 wanahatari[/FONT]
  [FONT=&quot]kubwazaidi ya kupata fibroids, pia hii ni kutokana na kiwango[/FONT]
  [FONT=&quot]kikubwa cha oestrogen katika umri huu.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Wakati wa zamani, Fibroids ingeweza kusababishwa na[/FONT]
  [FONT=&quot]matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango. Hii ni kwasababu[/FONT]
  [FONT=&quot]vidonge hivi vilikua na kiwango kikubwa cha oestrogen.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Lakini kwa hivi sasa,vidonge hivi vya uzazi wa mpango havina[/FONT]
  [FONT=&quot]kiwango kikubwa cha oestrogen kama ilivyokuwa hapo awali.[/FONT]
  [FONT=&quot]Aina za Fibroids[/FONT]

  l [FONT=&quot]Fibroids zinatofautishwa kutokana na sehemu ambapo imetokea.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Yapo makundi mawili[/FONT]
  [FONT=&quot]y a n a y o w e z a[/FONT]

  [FONT=&quot]kugawanya aina za[/FONT]
  [FONT=&quot]fibroids.[/FONT]
  [FONT=&quot]1) Fibroids zinazotokea[/FONT]
  [FONT=&quot]ndani ya mji wa mimba,[/FONT]
  [FONT=&quot]2) Fibroids zinazotokea kwenye[/FONT]
  [FONT=&quot]kuta za nje ya mji wa mimba.[/FONT]

  [FONT=&quot]Dalili za Fibroids[/FONT]

  l [FONT=&quot]Inakadiriwa kwamba, asilimia 75% ya wanawake wenye fibroids[/FONT]

  [FONT=&quot]hawana dalili zozote na wala hawajui kama wana fibroids.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Kuweza kujua dalili za fibroids, inategemea na ukubwa wa[/FONT]
  [FONT=&quot]fibroid na wapi zilipo kwenye kizazi. Hii pia inachangia aina ya[/FONT]
  [FONT=&quot]dalili atakazopata mtu.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Mfano: Fibroid ndogo ambayo ipo kwenye kuta za kizazi,[/FONT]
  [FONT=&quot]haitakuwa na dalili sawa na Fibroid kubwa inayoota kuelekea nje[/FONT]
  [FONT=&quot]ya kizazi.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Dalili kubwa inayofahamika ni ile ya kutokwa na damu nyingi[/FONT]
  [FONT=&quot]sana wakati wa hedhi.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Dalili nyingine ni kama,[/FONT]

  l [FONT=&quot]Maumivu ya tumbo,[/FONT]
  l [FONT=&quot]Inaathiri mfumo wa haja (kubwa na ndogo)[/FONT]
  v [FONT=&quot]Kuhisi mkojo mara kwa mara[/FONT]
  v [FONT=&quot]Mkojo kutoka kidogokidogo/kuvuja[/FONT]
  v [FONT=&quot]Mkojo kushindwa kutoka kirahisi.[/FONT]
  v [FONT=&quot]Kukosa choo (constipation)[/FONT]

  v [FONT=&quot]Kuwa tasa kutoshika ujauzito)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Maumivu wakati wa tendo la ndoa.[/FONT]
  [FONT=&quot]Fibroids na Ujauzito[/FONT]
  [FONT=&quot]Fibroids zinaweza kusababisha matatizo yafuatayo kwenye ujauzito:[/FONT]
  [FONT=&quot]1. Kuharibika kwa mimba/ujauzito[/FONT]
  [FONT=&quot]2. Inachangia kwa mwanamke kutoshika mimba kutokana na[/FONT]

  [FONT=&quot]kubanwa kwa mirija ya uzazi.[/FONT]
  [FONT=&quot]3. Pia kutokana na msukumo unaosababishwa na fibroids, mirija ya[/FONT]
  [FONT=&quot]uzazi hubanwa na hivyo kushindwa kupitisha mayai kuelekea[/FONT]
  [FONT=&quot]kwenye kizazi (uterus)[/FONT]
  [FONT=&quot]4. Mwanamke anapokuwa mjamzito na pia akawa na fibroids kwa[/FONT]
  [FONT=&quot]wakati huo, mwili unaweza ukasitisha kupeleka damu kwenye[/FONT]

  [FONT=&quot]fibroids na kuifanya fibroid kusinyaa. Kama hili likitokea,[/FONT]
  [FONT=&quot]husababisha maumivu makali ya tumbo, na pia kufanya kizazi[/FONT]
  [FONT=&quot]kutanuka na kusinyaa, baadae mimba huweza kutoka kabla ya[/FONT]
  [FONT=&quot]wakati wake.[/FONT]
  [FONT=&quot]5. Wakati wa kujifungua, kama fibroid itakuwa kwenye njia ya[/FONT]
  [FONT=&quot]kutolea mtoto inaweza kusababisha damu nyingi kutoka, au[/FONT]
  [FONT=&quot]ikishindikana mama hufanyiwa upasuaji ili kumtoa mtoto.[/FONT]
  [FONT=&quot]Utaweza vipi kugundua kama una Fibroids?[/FONT]
  l [FONT=&quot]Kama hakuna dalili inawezakana tu kwa kufanya vipimo.[/FONT]
  l [FONT=&quot]Dalili zikiwepo na kuhisi unalo tatizo la fibroids, mwone daktari[/FONT]
  [FONT=&quot]kwa ajili ya kupata vipimo ili kujua kama una fibroids au la.[/FONT]
  [FONT=&quot]Vipimo vya Fibroids[/FONT]

  l [FONT=&quot]Daktari huweza kufanya uchunguzi kwa vipimo kati ya hivi[/FONT]
  [FONT=&quot]vifuatavyo;[/FONT]
  l [FONT=&quot]Ultrasound scan (Mionzi)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Hysteroscopy (kifaa kidogo ambacho huingizwa kwenye kizazi[/FONT]
  [FONT=&quot]kupitia sehemu ya uke (vagina)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Laparoscopy (upasuaji wa sehumu ndogo ya tumbo pamoja na[/FONT]
  [FONT=&quot]kuwekewa kifaa kidogo sehemu ya uke (vagina)[/FONT]
  [FONT=&quot]Kuishi na Fibroids (wanavyoshauri hospitali)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Njia iliyozoeleka ya kuishi na fibroids zinazotoa damu nyingi ni[/FONT]
  [FONT=&quot]kuzilinda na si kuzitibu (monitor rather than treat them)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Utashauriwa kupata uangalizi/uchunguzi wa mara kwa mara[/FONT]

  [FONT=&quot]lakini bado utahisi unahitaji msaada zaidi kwa jinsi unavyojisikia[/FONT]
  [FONT=&quot]Matibabu ya Fibroids (Hospitali)[/FONT]
  l [FONT=&quot]Zipo njia kuu mbili za kihospitali za kutibu fibroids.[/FONT]
  [FONT=&quot]1. Kutumia dawa (drug treatment)[/FONT]
  [FONT=&quot]2. Kufanyiwa upasuaji (surgical procedures[/FONT]

  [FONT=&quot]1. Kutumia Dawa[/FONT]

  l [FONT=&quot]Mkusanyiko wa dawa zijulikanazo kama GnRH analogues[/FONT]

  [FONT=&quot]hupunguza kiwango cha oestrogen mwilini na hivyo[/FONT]

  [FONT=&quot]kusababisha firoid kusinyaa.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Uchunguzi unaonyesha kwamba, dawa hizi zikitumika kwa[/FONT]

  [FONT=&quot]miezi sita hupunguza ukubwa wa fibroid kwa asilimia 50%[/FONT]

  l [FONT=&quot]Pia dawa hizi husitisha mzunguko wa mwezi (hedhi).[/FONT]

  l [FONT=&quot]Inashauriwa kwamba matumizi ya dawa hizi (GnRH[/FONT]

  [FONT=&quot]analogues) yasitumike zaidi ya miezi sita kwani dawa hizi[/FONT]

  [FONT=&quot]huweza kuleta madhara makubwa.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Pia, mara baada ya kuacha kutumia dawa hizi, wiki chache[/FONT]

  [FONT=&quot]baadae fibroids huanza kukua tena, na mwanamke huanza[/FONT]

  [FONT=&quot]kupata hedhi tena kama awali, ikiambatana na maumivu[/FONT]

  [FONT=&quot]makali.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Kwa baadhi ya wanawake huwa hawapati tena hedhi hadi[/FONT]

  [FONT=&quot]kifo.[/FONT]

  [FONT=&quot]2. Kufanyiwa upasuaji[/FONT]

  l [FONT=&quot]Upasuaji unahusisha mambo yafuatayo.[/FONT]

  l [FONT=&quot]Kuiondoa fibroid yenyewe na kuacha kizazi[/FONT]

  [FONT=&quot](Myomectomy)[/FONT]

  l [FONT=&quot]Kukiondoa kizazi kabisa (Hysterectomy)[/FONT]

  l [FONT=&quot]Kuzuia damu kwenda kwenye fibroids (Uterine artery[/FONT]

  [FONT=&quot]embolisation)[/FONT]

  l [FONT=&quot]Ipo njia ambayo haijazoeleka sana, ambayo mtu huchomwa[/FONT]

  [FONT=&quot]sindano nne tumboni zikielekea ilipo fibroids kwa ajili ya[/FONT]

  [FONT=&quot]kuiua kwa kemikali maalum.[/FONT] HILA UNA WEZA KUTUMIA SUPLIENTARY KUONDOA HALI HIYO KWANI NI MBAYA MNO NIPIGIE 0683672508 KWA MSAADA ZAIDI EPUKA HALI HIYO KUKUPATA
   

  Attached Files:

 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ahsante kwa darasa zuri.
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani ilo li fibroid si mimba kabisa lol! yaan unaweza kusema unamtoto miez 12 kumbe ni liuvimbe tena likacheza kabisa kama featus vile.
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Asante kwa uchambuzi wako yakinifu, hata kama mie sio mama nimesoma kwa ajili ya mama bwana, merci beaucoup!
   
Loading...